msouzi wa kingoni
Senior Member
- May 6, 2017
- 150
- 226
Wewe unahisi jeshi la msumbiji nikama jeshi lenu la Burundi sio acha wakichafue tu maana mazoea yamezidihivi hao FRELIMO ni wakubwa kuliko nchi.? watu hawatakiwi na wananchi walio wengi kwanini jeshi la nchi lisiingilie kati na kuwatimua hao FRELIMO haiwezekani nchi inaharibika kisa wapuuzi wachache wanaojali matumbo yao tu..ni wakati wa usalama wa taifa na jeshi kuwasaidia wanachj kupata haki yao wanayoipigania..ila afrika ni laana yaani taasisi zenye uwezo wa kumtoa rais kwenye madaraka tena ya wizi yasiyo halali zipo tu zinatizama na kuwalinda mabazazi.!