msouzi wa kingoni
Senior Member
- May 6, 2017
- 150
- 226
Wewe unahisi jeshi la msumbiji nikama jeshi lenu la Burundi sio acha wakichafue tu maana mazoea yamezidihivi hao FRELIMO ni wakubwa kuliko nchi.? watu hawatakiwi na wananchi walio wengi kwanini jeshi la nchi lisiingilie kati na kuwatimua hao FRELIMO haiwezekani nchi inaharibika kisa wapuuzi wachache wanaojali matumbo yao tu..ni wakati wa usalama wa taifa na jeshi kuwasaidia wanachj kupata haki yao wanayoipigania..ila afrika ni laana yaani taasisi zenye uwezo wa kumtoa rais kwenye madaraka tena ya wizi yasiyo halali zipo tu zinatizama na kuwalinda mabazazi.!
Naunga MKONO HOJA ya Jeshi kuingilia hali iliyopo kwa sasa..rudisha amani, baada ya miezi 6, nchi apewe MPINZANi..ishara na dalili zote zinaonyesha huyo ndio CHAGUO la Wananchihivi hao FRELIMO ni wakubwa kuliko nchi.? watu hawatakiwi na wananchi walio wengi kwanini jeshi la nchi lisiingilie kati na kuwatimua hao FRELIMO haiwezekani nchi inaharibika kisa wapuuzi wachache wanaojali matumbo yao tu..ni wakati wa usalama wa taifa na jeshi kuwasaidia wanachj kupata haki yao wanayoipigania..ila afrika ni laana yaani taasisi zenye uwezo wa kumtoa rais kwenye madaraka tena ya wizi yasiyo halali zipo tu zinatizama na kuwalinda mabazazi.!
Afrika ni moja Wazungu waliwagawa ili wawatawale kirahisi na ninyi mnaendelea kubaguana kwa mipaka ya kina Dr Livingstone na Carl Peter's..Unamuunga mkono ukiwa wapi? Taja majina yako matatu kama yanavyoonekana kwenye kitambulisho cha NIDA
Huo ni mpango sio kwamba wamekurupuka hiyo Nchi haitatawalika kama wataendelea kung'ang'ania madaraka niliona border moja ya SA/Msumbiji walienda kufunga siku wiki nzima kwa maandamano na jamaa wapo serious kweli..Nimefurahishwa sana pale wafungwa 6000 kutoroka na kuichukua silaha za kutosha.Hizo silaha zinatumika kuwalazimisha kuacha uhuni hao Frelimo. CCM ujiandae kunyolewa
🤣 🤣 🤣Mbona hata Nelson Mandela pia nilikuwa namuunga mkono na hukuja kunihoji Kitambulisho?
Wapinzani lazima tuungane mkono wewe kama ni CCM unga mkono RRELIMO povu la nini?
Jeshi hilohilo wamelidharau miaka yoteNimefurahishwa sana pale wafungwa 6000 kutoroka na kuchukua silaha za kutosha.Hizo silaha zitatumika kuwalazimisha kuacha uhuni hao Frelimo. CCM ujiandae kunyolewa
Kagame keshapenyeza shida kule akisaidiwa na wazunguWafungwa 6000 gereza la machava maputo wameiba na AK 47
CCM waje wasome hapaChama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 6000 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
Hakuna wanapilinywa Mahakama ime confirm ushindi wao na wameshika haramu.Chama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 6000 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
Kwa merits zipi unaulizia details za mtu kwa issue kama.hii?Unamuunga mkono ukiwa wapi? Taja majina yako matatu kama yanavyoonekana kwenye kitambulisho cha NIDA
Msumbiji ni kama huku cambodia hatuna tofautiHakuna wanapilinywa Mahakama ime confirm ushindi wao na wameshika haramu.
Watakaoandamana watachezea kichapo kama.walivyochezea.
CCM vichwa vigumu muda sio mrefu somo litawaingia.Chama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 6000 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
Africa haiwezi kabidhi madaraka Kwa vibaraka.Msumbiji ni kama huku cambodia hatuna tofauti
Maji yakizidi unga huwa hivyo !This Time polisi na usalama wa Mozambique wametaka Frelimo ijitetee
Mmmh !Huyo mjinga ni nani?