Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi.
Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi .
Ukihitaji kuona fremu nicheki
📞: +255 785 335 350
WhatsApp. +255 621 142 409




1D2D37BB-D5AB-461A-818C-07F635DDDB18.jpeg
 
Hii inafaa kwa kuwapiga wanyonge sadaka kabisa. Mwezi bei gani mkuu?
 
Back
Top Bottom