Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

Bac3

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
178
Reaction score
119
MAHALI; Mwanza mjini kati

UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa

Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo

FREMU NI KUBWA kias kwamba unaweza tenga ukaweka biashara mbili tofauti....na zote zikaenda vizuri kwa sababu ni barabaran kabisa main road

KODI YAKE; milioni 5 kwa mwaka

MAUZO YA BIASHARA ILIYOPO;
mauzo kwa yanatifautiana kwa siku ila FAIDA kwa siku ina range kuanzia 100,000 hadi 150,000 baada ya kutoa matumizi

FAIDA KWA MWAKA
;; milioni 36 kama ukifanya siku zote za mwaka

GHARAMA ZA KUUZA FREMU

Ni milioni 25 kama ni frem tu...kama ni frem na biashara yake ni milioni 30...gharama imekuwa hiv kwa sababu frem ni kubwa sana na iko barabaranali kabisaaa main road na pia kuna maboresho makubwa yalifanyika hapo

Fremu bado ina kodi ya miezi 10 ....kwa hiyo ukiichukua unaendelea kutumia muda uliobaki ukiisha unaendelea kulipa kodi kama kawaida

Maongezi yapo na punguzo kidogo..

Mawasiliano.....0744597493

Karibuni

Ukiichukua ukaendelea kufanya biashara iliyopo sasa hiv unaweza rudisha hiyo hela yako baada ya mwaka mmoja tu....au kutokana na changamoto za hapa na pale kama kuumwa au kutofungua unaweza irudisha baada ya mwaka mmoja na miezi michache.
 
Screenshot_20250112-141523_1.jpg
 
Unauza fremu kwa mil 35 na hio fremu si mali yako mwenye mali anapangisha kwa mil 5 tu kwa mwaka. Ngoja waje.
Kutaja mtaa huwezi kuweka picha ya duka tuone ukubwa wake pia huwezi.Sasa utauza ilo duka kwa mbinu ipi?
usijari mkuu...kama kweli mhitaji ni mfanyabiashara atanitafuta nimuoneshe......nawashanitafuta kadhaa...bado tuko kwenye maongezi.....hii ni strictly kwa wafanyabiashara wanaohitaji hii location......asante
 
Back
Top Bottom