Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

MAHALI; Mwanza mjini kati

UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa

Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo

FREMU NI KUBWA kias kwamba unaweza tenga ukaweka biashara mbili tofauti....na zote zikaenda vizuri kwa sababu ni barabaran kabisa main road

KODI YAKE; milioni 5 kwa mwaka

MAUZO YA BIASHARA ILIYOPO;
mauzo kwa yanatifautiana kwa siku ila FAIDA kwa siku ina range kuanzia 100,000 hadi 150,000 baada ya kutoa matumizi

FAIDA KWA MWAKA
;; milioni 36 kama ukifanya siku zote za mwaka

GHARAMA ZA KUUZA FREMU

Ni milioni 35 kama ni frem tu...kama ni frem na biashara yake ni milioni 38....gharama imekuwa hiv kwa sababu frem ni kubwa sana na iko barabaranali kabisaaa main road na pia kuna maboresho makubwa yalifanyika hapo

Fremu bado ina kodi ya miezi 10 ....kwa hiyo ukiichukua unaendelea kutumia muda uliobaki ukiisha unaendelea kulipa kodi kama kawaida

Maongezi yapo na punguzo kidogo..

Mawasiliano.....0744597493

Karibuni

Ukiichukua ukaendelea kufanya biashara iliyopo sasa hiv unaweza rudisha hiyo hela yako baada ya mwaka mmoja tu....au kutokana na changamoto za hapa na pale kama kuumwa au kutofungua unaweza irudisha baada ya mwaka mmoja na miezi michache.
Mimi natafuta kama hiyo Lusaka Zambia
 
Tatizo la watu wa mwanza unakuta mtu anafanya biashara kama huyu jamaa alafu watu wakimuuloza hapa anataka apigiwe na Akio giwa anataka mtu AENDE Sasa ni lazima nije uwezi nipa abc hapa kisha niliona panafaa napita sababu naweza kupata info hapa hapa na nikapita kwenye hiyo duka nikaona kwangu mimi hapafai Sasa Kuna haja ya kusumbua kujuana kabla?
mkuu kama kweli uko serious na biashara utanipigia na utakuja tu..frem ipo...nishaongea na wengine bado hatujafikia makubaliano.....0744597493....na bei inapungua
 
frem ya bishara kuubwa...bei maelewano inapungua...iko barabaran Mwanza mjini kabisa main road
 
MAHALI; Mwanza mjini kati

UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa

Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo

FREMU NI KUBWA kias kwamba unaweza tenga ukaweka biashara mbili tofauti....na zote zikaenda vizuri kwa sababu ni barabaran kabisa main road

KODI YAKE; milioni 5 kwa mwaka

MAUZO YA BIASHARA ILIYOPO;
mauzo kwa yanatifautiana kwa siku ila FAIDA kwa siku ina range kuanzia 100,000 hadi 150,000 baada ya kutoa matumizi

FAIDA KWA MWAKA
;; milioni 36 kama ukifanya siku zote za mwaka

GHARAMA ZA KUUZA FREMU

Ni milioni 35 kama ni frem tu...kama ni frem na biashara yake ni milioni 38....gharama imekuwa hiv kwa sababu frem ni kubwa sana na iko barabaranali kabisaaa main road na pia kuna maboresho makubwa yalifanyika hapo

Fremu bado ina kodi ya miezi 10 ....kwa hiyo ukiichukua unaendelea kutumia muda uliobaki ukiisha unaendelea kulipa kodi kama kawaida

Maongezi yapo na punguzo kidogo..

Mawasiliano.....0744597493

Karibuni

Ukiichukua ukaendelea kufanya biashara iliyopo sasa hiv unaweza rudisha hiyo hela yako baada ya mwaka mmoja tu....au kutokana na changamoto za hapa na pale kama kuumwa au kutofungua unaweza irudisha baada ya mwaka mmoja na miezi michache.
Kuna mawili hapa, either wewe ni dalali au tapeli... Wewe sio mmiliki wa fremu wala biashara. Haiwezekani kila anayekuuliza unamwambia apige simu... Hii ni black business naona.. kama ni ya wazi weka maelezo full. Ipo mtaa gani na ikiwezekana na picha zake kabisa...
 
kama hauko serious huwezi kuchukua hata nikiweka picha.....na kama uko serious unahitaji utanitafuta bila hata kuweks picha...either way ni maamuzi yako mkuu!!
 
Tajiri ngoja nikufundishe sales and marketing, kumbuka sio kila mara mteja ananunua kitu anachokipenda. Kuna wakati mtu ananunua kitu kinachomvutia. Ndio maana supermarket kuna displays na maduka ya nguo yana midoli nje...

Elimu ya bure hiyo hujanilipa hata senti
 
Akikuelewa yesu anakuja
 
sawa
 
chumba cha biashara(frem)..mwanza mjini
 
Ukishaona biashara ina usiri mkubwa hivyo jua cyo legit labda legit uende nayo wew kichwa kichwa kama picha ya Patrick inavyojieleza urudi kufungua Uzi wa SITOSAHAU NILIVYOTAPELIWA MWANZA
😅😅😅😅
 
MAHALI; Mwanza mjini kati

UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa

Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo

FREMU NI KUBWA kias kwamba unaweza tenga ukaweka biashara mbili tofauti....na zote zikaenda vizuri kwa sababu ni barabaran kabisa main road

KODI YAKE; milioni 5 kwa mwaka

MAUZO YA BIASHARA ILIYOPO;
mauzo kwa yanatifautiana kwa siku ila FAIDA kwa siku ina range kuanzia 100,000 hadi 150,000 baada ya kutoa matumizi

FAIDA KWA MWAKA
;; milioni 36 kama ukifanya siku zote za mwaka

GHARAMA ZA KUUZA FREMU

Ni milioni 25 kama ni frem tu...kama ni frem na biashara yake ni milioni 30...gharama imekuwa hiv kwa sababu frem ni kubwa sana na iko barabaranali kabisaaa main road na pia kuna maboresho makubwa yalifanyika hapo

Fremu bado ina kodi ya miezi 10 ....kwa hiyo ukiichukua unaendelea kutumia muda uliobaki ukiisha unaendelea kulipa kodi kama kawaida

Maongezi yapo na punguzo kidogo..

Mawasiliano.....0744597493

Karibuni

Ukiichukua ukaendelea kufanya biashara iliyopo sasa hiv unaweza rudisha hiyo hela yako baada ya mwaka mmoja tu....au kutokana na changamoto za hapa na pale kama kuumwa au kutofungua unaweza irudisha baada ya mwaka mmoja na miezi michache.
Maelezo yako yanakanganya, mara inauzwa milioni 25 mara italipiwa kodi baada ya miezi 10. Hivi unajua maana ya kuuza?
 
Back
Top Bottom