Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

Mpka sasa sijaelewa hii frame inauzwa au inapangishwa?
inapangishwa......ila bado ina muda wa kodi miezi kumi hiv....lakin pia biashara nayo inauzwa kama mhitaji atahitaji vyote
 
Nilichoelewa
Frem inauzwa inauzwa sh 35 millioni (hapa ni frem tupu ila bado ina kodi ya miezi 10)

Ukinunua frem na mzigo ni sh. 38 millioni maana yake mzigo ulioko ndani cost yake ni sh million 3 pekee!.

Kwaiyo unachotafuta hapa ni KILEMBA ambacho ni millioni 35 kwasababu frem iko eneo potential kibiashara

Sasa ulitakiwa uwe straight tu kwamba FREM INAPATIKANA MWANZA ENEO ZURI LA BIASHARA KWA KUTOA KILEMBA.
 
sawa mkuu...but pia kuna punguzo kidogo
 
Ukishaona biashara ina usiri mkubwa hivyo jua cyo legit labda legit uende nayo wew kichwa kichwa kama picha ya Patrick inavyojieleza urudi kufungua Uzi wa SITOSAHAU NILIVYOTAPELIWA MWANZA
mkuu...hiyo ni pesa nyingi..mpaka anakubali kutoa 35 au pungufu maana yake kashathibitisha mambo yote...so mteja hatakiwi kuwa na shaka
 
Ukitoa hela utaelewa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
acheni kuwa na vichwa vigumu...Frem inapangushwa..ila ili kuichukua kuna kiremba unatakiwa kulipia...plus kuna kodi humo humo...sasa cha ajabu nini hapo??
 
acheni kuwa na vichwa vigumu...Frem inapangushwa..ila ili kuichukua kuna kiremba unatakiwa kulipia...plus kuna kodi humo humo...sasa cha ajabu nini hapo??
Kweli inapangushwa.....maana heading inasema inauzwa na kukodishwa, hivi Sasa umeongeza inapangushwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kweli inapangushwa.....maana heading inasema inauzwa na kukodishwa, hivi Sasa umeongeza inapangushwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mkuu, unakomaa hata kwa typing error?? una umri gani?
 
frem moja na eneo kubwa kiasi kwamba unaweza tenga ukaweka frem mbili!
 

Unawezaje kujua faida ya frame kirahisi hivyo?
 
mkuu kama upo mwanza..nipigie uje ujihakikishie....na mimi sio dalali....njoo ujioneee

naona hapo bwana Patrick anafanya utoto tu
Tatizo la watu wa mwanza unakuta mtu anafanya biashara kama huyu jamaa alafu watu wakimuuloza hapa anataka apigiwe na Akio giwa anataka mtu AENDE Sasa ni lazima nije uwezi nipa abc hapa kisha niliona panafaa napita sababu naweza kupata info hapa hapa na nikapita kwenye hiyo duka nikaona kwangu mimi hapafai Sasa Kuna haja ya kusumbua kujuana kabla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…