Friend mechi Yanga vs Singida UNITED leo Taifa!

Friend mechi Yanga vs Singida UNITED leo Taifa!

8428bc2808274755320da8adc5b59aaf.jpg

Huyu kijana anajua kuchambua mpira tofauti na wachambuzi wengine wakibongo wanaonesha mahaba kwa timu zao kuliko uhalisia Wa mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisema Yanga mbovu itashuka daraja mara umegeuka kua Singida sio timu duh uyu Manara anawaharibuni sana maana hata kushirikisha ubongo hamtaki dakika kadhaa tu umesahau ulichosema mwanzo.
Vitendo dhidi ya maneno,Yanga ni bingwa wa kihistoria naomba nikumbushe lini ulibeba VPL..[emoji23][emoji23]

Hao wanasubiri ubingwa kutoka FIFA.

Wamekuwa waimba taarab kama Hadija Manara.
 
Hata Friendly unahonga?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunahonga nini na mnasema hatuna pesa hali yetu ngumu au mmesahau...???Manara kawapa ulemavu wa akili [emoji23][emoji23] akisema Yanga kanunua mechi basi wote mnapiga kelele...Ndiooooooo na mnaogopa hata kuuliza rufaa yenu FIFA nasubiri ligi ianze nicheke anavyowaburuza.
 
Mngekuwa na hela mngeiba miwa Huko manungu?

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom