Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Mkuu mi mkulima wa kahawa na iliki mahindi huku tunawekea tututaWeka kibarua watu wakapande mkuu
Tupate hata yakuchoma
Nipo. Habari yako?Uspoteege hivi
Dhooooo!! Sasa tukunywe tu kahawaMkuu mi mkulima wa kahawa na iliki mahindi huku tunawekea tututa
Yaan ww unajua kabsa
Maji hayatoi lock
Lakin hunihurumii
Ndo mpango mzima mkuu karibu tushirikianeDhooooo!! Sasa tukunywe tu kahawa
Tuongeze nguvu
Dhuuu yan umenishushaUsijali kuna sehemu wanauza ulanzi,pingu,wanzuki nimekuagizia zote 3 in one(yaan wamechanganya zote,hiyo lock itatolewa ya milele)
Dhuuu yan umenishusha
Kwny mlima wang unaenda kunipandisha kitongaa
Co kwa kunikomoa huko
Unajua kule kitonga wanachanganya
Na ile nyama yao huo ulanz
Sasa dhaaa
Me nihurumie tu unibakishie
Ile hata yakumulika na toch
Dhaaa nije tu mkuu ilaNdo mpango mzima mkuu karibu tushirikiane
Mkuu huku Hamna mchuzi wa pweza huku unakunywa kahawa unaendelea na kazi shamba tuDhaaa nije tu mkuu ila
Iswe kama mchuz wa pweza
Dhaaaa yan unahisiaa kaliiii
nmeshaweka akiba mwenzako
Ucje ukapta nayo kushoto
Bora tu huko ndo kuzurMkuu huku Hamna mchuzi wa pweza huku unakunywa kahawa unaendelea na kazi shamba tu
Hata mi naonaHahaha asinisingizie labda katoswa huko
[emoji134] [emoji134] mweeee ntake radhHahaha asinisingizie labda katoswa huko
I was about to tag uKaribu rafiki ila kinywaji kimeishaView attachment 472774