Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Usijali kuna sehemu wanauza ulanzi,pingu,wanzuki nimekuagizia zote 3 in one(yaan wamechanganya zote,hiyo lock itatolewa ya milele)
Dhuuu yan umenishusha
Kwny mlima wang unaenda kunipandisha kitongaa

Co kwa kunikomoa huko
Unajua kule kitonga wanachanganya
Na ile nyama yao huo ulanz
Sasa dhaaa

Me nihurumie tu unibakishie
Ile hata yakumulika na toch
 
Hahahaaa
Dhuuu yan umenishusha
Kwny mlima wang unaenda kunipandisha kitongaa

Co kwa kunikomoa huko
Unajua kule kitonga wanachanganya
Na ile nyama yao huo ulanz
Sasa dhaaa

Me nihurumie tu unibakishie
Ile hata yakumulika na toch
 
Kulikoni au majibu ya Numbisa yanakufanya useme hivyo.

Huku salama
Dhaaaa yan unahisiaa kaliiii
Nunbisa anataka kuniuwa
Hebu mwambie anihurumie
Me n mtt wa mwanamke mwenzie


Mazur ya huko n yapi
 
Back
Top Bottom