Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Hello guys mko poa..
Habar za mihangaiko ya siku nzima
Ok, kama kichwa cha mada kilivyo jieleza. Nadhan wengi humu kunawatu mnawapenda haijarishi ni kimapenzi au kiurafiki so deal lipo hivi...
Mtag boy or girl umpendaye then muombe urafiki hapa. Naanza mm

Numbisa moyo wangu unataka uwe rafiki yangu tafadhari
Joanah umemshindwa umeamisha magoli
 
Back
Top Bottom