TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,886
- Thread starter
-
- #41
Undergraduate wengi wanawaza ngono tu, nakuja hapa kwa sababu ni jukwaa lenye watu wa aina zote, sisi hatuna habari na hizo mambo za ngono, hata huyu hapa chini alikuja na mawazo yake ya kingono ngono akaishia kuaibika tu...Hapo ud undergraduate wapo wa kutosha kesho waambieni tu mnataka tu company kidimbwi yoyote mtayemwona huwezi kosa wa 3
Sasa Malaya tutapiga nao story gani? Wao wanauza sisi sio wanunuzi...mbona mawazo yako yapo kingono ngono tu wakati sie hatupo huko kabisaSi muende Africa sana kule sinza malaya kibao wamejaa kampani ya kutosha tu
Oh kumbe basi aina haja ya kuwakaribisha warembo wakaribisheni hata wanaume waje wawape kampani au vpSasa Malaya tutapiga nao story gani? Wao wanauza sisi sio wanunuzi...mbona mawazo yako yapo kingono ngono tu wakati sie hatupo huko kabisa
Tunataka wadada kubalance nature, lakini sio ngono....Oh kumbe basi aina haja ya kuwakaribisha warembo wakaribisheni hata wanaume waje wawape kampani au vp
Nipigie pass ya upendo kama wewe hupendi ngonoUndergraduate wengi wanawaza ngono tu, nakuja hapa kwa sababu ni jukwaa lenye watu wa aina zote, sisi hatuna habari na hizo mambo za ngono, hata huyu hapa chini alikuja na mawazo yake ya kingono ngono akaishia kuaibika tu...
View attachment 2247625
Acha kuwatisha watu bhana...yaani tufanye mambo ya kuhuni namna hiyo na shule zetu vichwani?Hapa ndipo unyumbu wa wanawake unapoanzia, watajazana huko PM wakijua wanaenda kunywa Hennes na kupewa nauli ya Ubber, hawafikirii kuwa wanaume tuna technic Alpha! Ngoja waje, walewe, watajikuta asubuhi washachakatwa mbususu nyuma ya kuta za hostel za Magufuri!
[emoji23][emoji23][emoji23]GAcha kuwatisha watu bhana...yaani tufanye mambo ya kuhuni namna hiyo na shule zetu vichwani?
Kwenye Biblia kuna kisa cha Amnon na Tamar (2 Samuel 13:1-18), kinafanana hivihivi."Naumwa sana njoo unijulie Hali tu, siwezi kukufanya chochote, au huniamini kuwa naumwa?" Subutuuuuu
Uliachaje Zigo hili?Undergraduate wengi wanawaza ngono tu, nakuja hapa kwa sababu ni jukwaa lenye watu wa aina zote, sisi hatuna habari na hizo mambo za ngono, hata huyu hapa chini alikuja na mawazo yake ya kingono ngono akaishia kuaibika tu...
View attachment 2247625
Sasa kwa hali hiyo, aliabika yeye au mliabika nyinyi, achen kudhalilisha jinsia ya Kiume. Ni tunu hii nyie, kama mlikuwa hamataki kuwa wanaume si mngesema tu!!Undergraduate wengi wanawaza ngono tu, nakuja hapa kwa sababu ni jukwaa lenye watu wa aina zote, sisi hatuna habari na hizo mambo za ngono, hata huyu hapa chini alikuja na mawazo yake ya kingono ngono akaishia kuaibika tu...
View attachment 2247625
Dah mshkaji aliku amlafi sana sanaKwenye Biblia kuna kisa cha Amnon na Tamar (2 Samuel 13:1-18), kinafanana hivihivi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Naumwa sana njoo unijulie Hali tu, siwezi kukufanya chochote, au huniamini kuwa naumwa?" Subutuuuuu
Kumbe to yeye Ni teacher?Smile face sijajaaliwa mie...nimezoea makasiriko na wanafunz wangu
Mmmh🙄Haya wapenda vitonga, wapenda dezo mnaalikwa na kaka domo zege, buroo kaamua kuvua gizani, hahhaa nnacheka kama mazuri yaani. Nnakushauri pita Sinza au Ubungo Riverside pale utoe hili tangazo lako au mcheki financial services uombe kambani yake
Mmmmh kumbe postgraduate mwenyewe hata privacy huna..sa ndio Nini?hao wadada wataokuja wakilewa wine wakafanya vibweka so Utatumwa picha Wewe?Undergraduate wengi wanawaza ngono tu, nakuja hapa kwa sababu ni jukwaa lenye watu wa aina zote, sisi hatuna habari na hizo mambo za ngono, hata huyu hapa chini alikuja na mawazo yake ya kingono ngono akaishia kuaibika tu...
View attachment 2247625
Aisee, Bilblia ilikua na watu wazinzi SanaDah mshkaji aliku amlafi sana sana
1 Ikawa baada ya hayo, Absalomu, mwana wa Daudi, alikuwa na umbu mzuri, jina lake akiitwa Tamari, naye Amnoni, mwana wa Daudi, akampenda.
2 Akasononeka Amnoni, hata akaugua, kwa ajili ya umbu lake Tamari, maana huyu msichana alikuwa mwanamwali, Amnoni akaona ni vigumu kumtendea neno lo lote.
3 Lakini Amnoni alikuwa na rafiki, jina lake Yonadabu, mwana wa Shama, nduguye Daudi; naye Yonadabu alikuwa mtu mwerevu sana.
4 Naye akamwambia, Kwa nini, Ee mwana wa mfalme, unakonda hivi siku kwa siku? Hutaki kuniambia? Amnoni akamwambia, Nampenda Tamari, umbu la ndugu yangu, Absalomu.
5 Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie, Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, anipe mkate nile, akaandae chakula machoni pangu nikione, nikakile mkononi mwake.
6 Basi Amnoni akalala, akajifanya mgonjwa; na mfalme alipokuja kumtazama, Amnoni akamwambia mfalme Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, aniandalie mikate miwili machoni pangu, nipate kula mkononi mwake.
7 Basi Daudi akatuma mjumbe aende nyumbani kwa Tamari, akasema, Nenda sasa nyumbani kwa Amnoni, ndugu yako, ukamwandalie chakula.
8 Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.
9 Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Wakatoka kila mtu kwake.
10 Amnoni akamwambia Tamari, Kilete chakula chumbani, nipate kula mkononi mwako. Basi Tamari akaitwaa mikate aliyoifanyiza, akamletea Amnoni nduguye mle chumbani.
11 Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, ndugu yangu.
12 Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinitenze nguvu; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.
13 Nami nichukue wapi aibu yangu? Wewe nawe utakuwa kama mmoja wa wapumbavu wa Israeli. Basi, sasa, nakusihi, useme na mfalme; kwa maana hatakukataza kunioa.
14 Walakini yeye hakukubali kusikiliza sauti yake; naye akiwa na nguvu kuliko yeye, akamtenza nguvu, akalala naye.
15 Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.
16 Naye akamwambia, Sivyo, kwa kuwa mabaya haya ya kunitoa ni makuu kuliko yale uliyonitendea. Lakini alikataa kumsikiliza.
17 Ndipo akamwita mtumishi wake aliyemtumikia, akasema, Mtoe sasa mwanamke huyu kwangu, ukafunge mlango nyuma yake.
18 Naye alikuwa amevaa kanzu ndefu; kwa kuwa kwa nguo hizo huvikwa binti za mfalme waliokuwa wanawali. Ndipo mtumishi wake akamleta nje, akafunga mlango nyuma yake.
19 Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu ndefu yake aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti.
20 Huyo Absalomu nduguye akamwambia, je! Amekuwa nawe Amnoni nduguyo? Ila sasa tulia, dada; ni nduguyo; usilitie moyoni jambo hili. Basi Tamari akakaa hali ya ukiwa nyumbani mwa nduguye Absalomu.
21 Na mfalme Daudi alipoyasikia maneno hayo yote, alikasirika sana.