Friends of Gendamarie Fc

Friends of Gendamarie Fc

Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.

Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Aiseee mashabiki wa Yanga wamepokea wageni aiseee
 
Kwani kutoka ni tatizo mkuu? Ndivyo mpira ulivyo . Umesahau kwamba utopolo naye alishiriki haya mashindano ya CAF akatolewa hatua ya awalii tena na kitimu kidogo tu cha Rivers utd?

Itoshe tu kusema kuwa; Msukule haujawahi kutunza kumbukumbu.
Kutokana na kutoka mapema sana wamesahau kuwa waliwai shiriki kimataifa
 
Mkija uwankani mtaacha chupi zenu huko ndani. Tarehe 3 tuna jambo letu
 
Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.

Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Mapokezi FC aka Ng'ombe Boys,
Na mechi ikiisha muwasindikizege pia Airport
 
Back
Top Bottom