OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Na nyie baada ya ushindi mmekimbia,unachungulia kama mnaaga mwili🤣🤣🤣🤣
Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. 🤣🤣🤣🤣
#Wajifunze kujiamini. 😅😅😅