Friends of Gendamarie Fc

Friends of Gendamarie Fc

Hapa munajifariji tu lakini sisi hatujawahi kuogopa na ndiyomana hatujawahi kuacha Slogan yetu ya 'KWA MKAPA HATOKI MTU'.

Mbona tulikuwa tunatamba tu kila siku kuhusu kumla USGN
Kumbe na wewe kolo ila sawa tu kop [emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaaa. Kuumbe.

Hivyo wenzio walioandika kabla walijua munacheza na timu ya Zenji? Teh teh.
Kumbee waliandika na Uliona,Meanz Wana jiamini na ndo Maana waliandika kabla.
 
Tuone kweli ile kauli eti kwa NKAPA hatoki NTU, inawezekana?, kwani jana nilimsikia shabiki wa simba, eti mpira wa Afrika ni fitina tu, kwenye uwanja wa nyumbani!!ukishindwa kuzitumia wewe ni mjinga!!soka la bongo bado sana!!
Kwani ametoka?
 
Hahahaaa. Kuumbe.

Hivyo wenzio walioandika kabla walijua munacheza na timu ya Zenji? Teh teh.
Yanga walitamba kabla ya game mara return of the champion ila mwisho wa siku rivers utd wakafanya yao
 
🤣🤣🤣🤣

Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. 🤣🤣🤣🤣

#Wajifunze kujiamini. 😅😅😅
Nyie kuongoza ligi mipasho kibao, halafu sisi tumeingia robo fainal ya CAF mnataka tukae kimya kweli, mara ya mwisho nyie makundi ni 1998 na milipigwa sita. Acha tuvimbee🏄
 
Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.

Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie nouma naona mmezizoaaa alama zote 3 na magoli 4🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣subirien dro ya ¼ fainali
 
Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.

Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Nyie mashoga mmetiwa mimba dadeki zenu mmekojolewa hivyoooooooooo 4
 
Back
Top Bottom