Kipi kikuteketetashoHahahaaaa. Lol.
We acha tu. .. Moja kati ya sifa za Utopolo ni kumbukumbu fupi.
Aiseee mashabiki wa Yanga wamepokea wageni aiseeeHuu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Kutokana na kutoka mapema sana wamesahau kuwa waliwai shiriki kimataifaKwani kutoka ni tatizo mkuu? Ndivyo mpira ulivyo . Umesahau kwamba utopolo naye alishiriki haya mashindano ya CAF akatolewa hatua ya awalii tena na kitimu kidogo tu cha Rivers utd?
Itoshe tu kusema kuwa; Msukule haujawahi kutunza kumbukumbu.
Nacheka tu vile mumepanic.Kipi kikuteketetasho
Mapokezi FC aka Ng'ombe Boys,Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Usiku wa deni haukawii kukuchaMapokezi FC aka Ng'ombe Boys,
Na mechi ikiisha muwasindikizege pia Airport
Na mkae hapa hadi tarehe 3 tutakapowanyoosha
Labda ashinde njaaChuki na roho mbaya vitakuua, bahati mbaya sana kwako Simba atashinda.
Bora huo mkono ungeutumia kuunga mbogaNaunga mkono hoja.
Huyu aunge maharage tuBora huo mkono ungeutumia kuunga mboga
Yeah naunga mboga nakula na usgn.Bora huo mkono ungeutumia kuunga mboga