'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima

'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima

MORIAH

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
103
Reaction score
51
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

20052_125-200x150.jpg

Friends of Raila, a lobby group that has been leading Prime Minister Odinga's presidential campaigns is confident that Raila will emerge winner despite CORD candidate trailing in the tally so far.

Here below is the full statement:

FORA statement on the ongoing IEBC presidential vote tallying

1.The Friends of Raila (FORA) Secretariat thanks Kenyans for coming out in large numbers and conducting ourselves in a patriotic and orderly manner during the historic voting exercise yesterday, March 4, 2013.

2.We want to bring to your attention that we have our presidential tallying centre. We are receiving results from our Agents across the country as they are announced at the polling centres. The numbers we have look very good and we urge our supporters not to buy into the scare on TV screens. We have not released our in-house tallies because the Captain signed the IEBC code-of-conduct and he has urged us to be responsible and to wait on IEBC's results. We are continuing to monitor IEBC's provisional results and only making contact for clarification where there are any serious discrepancies with our in-house tallies. We reiterate that so far the numbers that we have are looking very good and our supporters should not be alarmed at all.

3.We remind Kenyans to note that so far IEBC has released only a fraction of the total votes cast across the country. Of importance to note is that the percentages of votes per county released by IEBC so far is not uniform. Different counties have different percentages of votes tallied so far. Statistically therefore, the national average, which is what TV screens are displaying, cannot and should not be used by our competitors or anyone to misinform and mislead the public that someone is cumulatively ahead. We urge our supporters and the public to look at the numbers being screened on TVs in context as well as in relation to statistics paradoxes. As of this morning IEBC had indicated they had provisional results from about 8000 polling centres. Across the country we have over 31000 polling centres.

4.We want our supporters to note that IEBC erred in beginning to release provisional results while voting was still going on in many polling centers. Also the initial provisional results that were released to the public were those from our competitor's strongholds. We wish to inform the public that at some point immediately thereafter the IEBC system went down, affecting the streaming of live results. In addition, our supporters should note that just a few tallies have been released by IEBC from our strongholds.

5.In closing, we want to say again that our in-house tallying numbers are looking very good and we are poised for a big win! We ask for calmness as IEBC continues to release the results. Always bear in mind that the numbers coming in are not uniform across the counties and therefore the average percentage cannot and should not be used as a national average. The results in so far are provisional. In fullness of time, we are headed for a big win.

For any further information please contact the undersigned.

Signed:

George Nyongesa |CEO, The Friends of Raila | Tel: +254 720 451 235 / 733 827 859 |Email: grnyongesa@yahoo.com

Cc: Hon. Kalonzo Musyoka
Hon. Anyang Nyong'o
Hon. Franklin Bett
Mr. Eliud Owallo

http://www.kenya-today.com/politics/friends-of-raila-odinga-victorious
 
So Odinga has won au anaelekea kushinda? So far wanatofauti ya kura kwa asilimia ngapi?
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

nafikiri bado kitambo kidogo tu mbivu na mbichi zitaanikwa hadharani.
 
Last minutes from now nimetokea kwa lunch matokeo ni Uhuru Kenyatta 54% 14 - Raila Odinga 43% 25! Lets see and wait kitu yoyote inaweza kutokea! Don't play with Politics!
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

Achana nao hao na kura zao za kuhesabia vichochoro, kura zinazotambulika zinatangazwa waziwazi kila mtu anaziona. Ninaanza kupata shaka wanaweza kugomea matokeo na kuingiza nchi kwenye machafuko
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.
Wewe, hizi ni dalili za machafuko, tume bado haijatangaza, maana yake ikitangazwa vinginevyo jua kimenuka.
 
Last minutes from now nimetokea kwa lunch matokeo ni Uhuru Kenyatta 54% 14 - Raila Odinga 43% 25! Lets see and wait kitu yoyote inaweza kutokea! Don't play with Politics!

Hayo ni matokeo ya tume ambayo yanafuata mlolongo sana kutangazwa. Tallying za kambi za vyama wanajua ukweli ulioko on the ground. Raila ameshashinda siyo suala la kusubiri.
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

Hivi kumbe na Magufuli ni mwanachadema
 
hii ni staili ya chadema, ndo maana kuna watu walisema kuwa cdm kinawasapoti hawa jamaa
 
Last minutes from now nimetokea kwa lunch matokeo ni Uhuru Kenyatta 54% 14 - Raila Odinga 43% 25! Lets see and wait kitu yoyote inaweza kutokea! Don't play with Politics!
Haya matokeo yametolewa asubuhi saa moja.
 
Wewe, hizi ni dalili za machafuko, tume bado haijatangaza, maana yake ikitangazwa vinginevyo jua kimenuka.

Kama wenzake wanafomu zote kutoka kila kituo nchi nzima, kwanini tume itangaze tofauti? Unless uniambie taarifa za akina odinga si za kweli. Kwa sababu, this time around unapobisha lazima uwe na documents - yaani fomu zilizosaniniwa na mawakala wote ktk vituo vya kupigia kura.
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.
kwani wanaotakiwa kutangaza matokeo kwa mujibu wa sheria za kenya ni marafiki wa Odinga wa facebook?
 
jamani, Uhuru kenyatta ameshinda huu uchaguzi, kama odinga akileta za kuleta, kwakweli hatutamuelewa. mimi mwenyewe nilikuwa supporter wa odinga, lakini kutokana na kura zilivyotoka, asiyekubali kushindwa si mshindani. pamoja na yote, tuseme ule ukweli tu, Wakenya hawako fair sana, waache ukabila, wakikuyu waache ukabila, wametawala mno, wamekula mno hiyo nchi tangu babayake uhuru awe raisi, wamejilimbikizia sana mali ardhi n.k, ilikuwa fair kama wakiwaachia na wajaluo au watu wengine wawe maraisi wa hiyo nchi hapo ndo ukabila ungekuja kuisha, lakini kwa trend hii ya sasa, hakika ukabila kenya hautakuja kuisha kwasababu kama uhuru akishinda, chuki dhidi ya wakikuyu itakuwa juu kuliko ilivyokuwa mwaka 2007/2008. waache ukabila, wakikuyu acheni ukabila, muone aibu sasa wakati mwingine.
 
Hivi kumbe na Magufuli ni mwanachadema

Hivi unajua kwanini alipewa onyo kimya kimya???. Au hujui, waulize wenzako walioko Lumumba watakuambia ukweli. Hutamwona tena akimshabika classmate wake Odinga hadharani ili asijeshughulikiwa na chama chake.
 
Hute,
Your source please???? Taarifa zako zimepitwa na wakati, sorry to say so.
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

...hakuna namna ya Raila Odinga kupata zaidi ya 50% kwenye uchaguzi huu, the best anachoweza kufanya ni kumvuta Uhuru Kenyatta na kuipeleka hii game kwenye round ya pili...
 
usiwadharau, wanaweza kuwa na hoja. Hebu angalia hapa alafu kama ni hivi ina maana nusu ya vituo vya kupiga kura havijawakilisha matokeo;
13:19 IEBC provisional results: Mr Kenyatta 2,495,800, Mr Odinga 1,896,174. 12,254 of 31,981 polling stations have reported.
 
Now naangalia Citezen TV hapa KeNyataa 2535.184= 56.06 asilimia and Odinga 1943098 = 41.44 asilimia.
 
Back
Top Bottom