Friends of Raila Odinga wamesema kwamba matangazo yaliyoko citizen tv ni sahihi ila kwa bahati mbaya yameinvolve strong hold za Kenyatta kuliko Raila. That is the current news my friends ndo maana hata mods hawatoi hii thread yangu.
...Ebu angalia hizi Country, angalia matokeo ya hizo Country, angalia ngome za Uhuru, angalia Registered Votes, angalia kura zilizojumlishwa mpaka sasa, linganisha na ngome za Raila, alafu pata jibu....
...Nikupe mifano michachae...
1. Baringo: Uhuru ana 88%
Odinga ana 10%
Kura zilizojumlishwa mpaka sasa ni kama 75,000; Jumla ya Wapiga kura hapo ni 548,000
2. Bomet: Uhuru 93%
Odinga 4%
Kura zilizojumlishwa mpaka sasa ni kama 105,000; Jumla ya Wapiga kura hapo ni 730,000
3.Marakwet: Uhuru 92%
Odinga 5%
Kura zilizojumlishwa mpaka sasa ni kama 16,000; Jumla ya Wapiga kura hapo ni 346,000
4.Laikipia: Uhuru 87%
Odinga 11%
Kura zilizojumlishwa mpaka sasa ni kama 72,000; Jumla ya Wapiga kura hapo ni 621,000
5.Nandi Uhuru 85%
Odinga 6%
Kura zilizojumlishwa mpaka sasa ni kama 80,000; Jumla ya Wapiga kura hapo ni 417,000
SOURCE: Website ya Tume ya Uchaguzi:
http://elections2013.nationmedia.com/president.html