Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now naangalia Citezen TV hapa KeNyataa 2535.184= 56.06 asilimia and Odinga 1943098 = 41.44 asilimia.
Now naangalia Citezen TV hapa KeNyataa 2535.184= 56.06 asilimia and Odinga 1943098 = 41.44 asilimia.
Lets wait & see.Kama wenzake wanafomu zote kutoka kila kituo nchi nzima, kwanini tume itangaze tofauti? Unless uniambie taarifa za akina odinga si za kweli. Kwa sababu, this time around unapobisha lazima uwe na documents - yaani fomu zilizosaniniwa na mawakala wote ktk vituo vya kupigia kura.
Kama wenzake wanafomu zote kutoka kila kituo nchi nzima, kwanini tume itangaze tofauti? Unless uniambie taarifa za akina odinga si za kweli. Kwa sababu, this time around unapobisha lazima uwe na documents - yaani fomu zilizosaniniwa na mawakala wote ktk vituo vya kupigia kura.
kuhesabu wamemaliza transmission ndo inaleta shida au nimekosea
Achana nao hao na kura zao za kuhesabia vichochoro, kura zinazotambulika zinatangazwa waziwazi kila mtu anaziona. Ninaanza kupata shaka wanaweza kugomea matokeo na kuingiza nchi kwenye machafuko
jamani, Uhuru kenyatta ameshinda huu uchaguzi, kama odinga akileta za kuleta, kwakweli hatutamuelewa. mimi mwenyewe nilikuwa supporter wa odinga, lakini kutokana na kura zilivyotoka, asiyekubali kushindwa si mshindani. pamoja na yote, tuseme ule ukweli tu, Wakenya hawako fair sana, waache ukabila, wakikuyu waache ukabila, wametawala mno, wamekula mno hiyo nchi tangu babayake uhuru awe raisi, wamejilimbikizia sana mali ardhi n.k, ilikuwa fair kama wakiwaachia na wajaluo au watu wengine wawe maraisi wa hiyo nchi hapo ndo ukabila ungekuja kuisha, lakini kwa trend hii ya sasa, hakika ukabila kenya hautakuja kuisha kwasababu kama uhuru akishinda, chuki dhidi ya wakikuyu itakuwa juu kuliko ilivyokuwa mwaka 2007/2008. waache ukabila, wakikuyu acheni ukabila, muone aibu sasa wakati mwingine.

Tiba,Mpaka sasa hakuna kituo ambacho kimemaliza kuhesabu kura na kutoa matokeo rasmi. Sasa hao marafiki wa Odinga wao hizo hesabu wamezipata wapi? Wajaluo wana shida hawa!!!! Wanataka kuleta yale yale ya mwaka 2007.
Tiba
Last minutes from now nimetokea kwa lunch matokeo ni Uhuru Kenyatta 54% 14 - Raila Odinga 43% 25! Lets see and wait kitu yoyote inaweza kutokea! Don't play with Politics!
HIVI UNA UCHUNGU KAMA MIMI? Ukabila unaenda kuimaliza Kenya na hii itasababisha kuwepo Guerrilla wars kama ilivyokuwa Rwanda la sivyo Kenya itabakia nchi inayoongozwa katika misingi ya kikabila. Ni wazi kabisa watu wamepiga kuru kwa misingi ya ukabila licha ya kwamba Uhuru Kenyatta ni mtuhumiwa mkuu wa Mahakama ya the Hugue na mvuta bangi na mlevi bado wamempa nchi aongoze. Shame on them.
Mi nilikuwa nazani Tume ndo imetangaza kumbe ni friends of Raila Odinga? basi watakuwa na nia ya kujiami kwa ajir ya kuja kupinga matokeo.Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.