'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima

Betlehem,
Acha ----- please!!!! Be informed that Raila Odinga ameshashinda fuatilia vyombo vya habari. Tatizo ambalo sijaelewa ni kwanini tume ya uchaguzi imekuwa so slow kuliko walivyojigamba mapema.
 
Now naangalia Citezen TV hapa KeNyataa 2535.184= 56.06 asilimia and Odinga 1943098 = 41.44 asilimia.

Friends of Raila Odinga wamesema kwamba matangazo yaliyoko citizen tv ni sahihi ila kwa bahati mbaya yameinvolve strong hold za Kenyatta kuliko Raila. That is the current news my friends ndo maana hata mods hawatoi hii thread yangu.
 
Lets wait & see.
 

Mpaka sasa hakuna kituo ambacho kimemaliza kuhesabu kura na kutoa matokeo rasmi. Sasa hao marafiki wa Odinga wao hizo hesabu wamezipata wapi? Wajaluo wana shida hawa!!!! Wanataka kuleta yale yale ya mwaka 2007.

Tiba
 
Tulieni tutapata matokeo sahihi unajua vyama huwa vinahesabu vituoni na tume husubili waletewe ya jumla ukute ni kweli sasa.
 
Mkuu haraka ya nini tusubiri hesabu ikamilike ili tujue ukweli!!!!
 
Hilo nalo neno tusubili tuone tuache kurumbana hapa JF wakuu
 
Achana nao hao na kura zao za kuhesabia vichochoro, kura zinazotambulika zinatangazwa waziwazi kila mtu anaziona. Ninaanza kupata shaka wanaweza kugomea matokeo na kuingiza nchi kwenye machafuko

Kunta Kinte,
Chaguzi ndivyo zilivyo huwa zina hisia nyingi lakini sio kila kitu kinaiingiza nchi katika machafuko.Hata wasipokubali matokeo katiba iko wazi wataenda mahakamani kudai haki yao na wakishindwa ndo rais ataapishwa.Machafuko ya 2007 yalikuwa na somo kwa Wakenya ndo maana wameweka taratibu wazi kabisa za kufuata ya matokeo rasmi kutangazwa na baada ya malalamiko kuisha ndo rais ataapishwa.
 

HIVI UNA UCHUNGU KAMA MIMI? Ukabila unaenda kuimaliza Kenya na hii itasababisha kuwepo Guerrilla wars kama ilivyokuwa Rwanda la sivyo Kenya itabakia nchi inayoongozwa katika misingi ya kikabila. Ni wazi kabisa watu wamepiga kuru kwa misingi ya ukabila licha ya kwamba Uhuru Kenyatta ni mtuhumiwa mkuu wa Mahakama ya the Hugue na mvuta bangi na mlevi bado wamempa nchi aongoze. Shame on them.
 
Kama hizi habari ni za kweli basi ni ishara tosha kuwa ukombozi wa bara Afrika umekaribia.
Tunasubili TANZANIA 2015.
 
Ameshinda kwa mujibu gani sasa?, yale matokeo ya asubuhi ambayo ni asilimia 30 tu ya kura zilizohesabiwa?
 
Mpaka sasa hakuna kituo ambacho kimemaliza kuhesabu kura na kutoa matokeo rasmi. Sasa hao marafiki wa Odinga wao hizo hesabu wamezipata wapi? Wajaluo wana shida hawa!!!! Wanataka kuleta yale yale ya mwaka 2007.

Tiba
Tiba,
Umetujuza kuwa uko Kenya kama observer halafu unakuja na conclusion ya jumlajumla kiasi hiki!play your party.Leta hapa analysis zako za uchaguzi huu unaoendelea.Usiwawadhihaki Wakenya sio wote waliompigia Odinga ni wajaluo na wala sio wote waliompigia Kenyatta si Wajaluo.
 
Last minutes from now nimetokea kwa lunch matokeo ni Uhuru Kenyatta 54% 14 - Raila Odinga 43% 25! Lets see and wait kitu yoyote inaweza kutokea! Don't play with Politics!

Mkuu sasa hivi ni saa nane na dakika kumi uhuru 54. 06% na odinga 41.44%

Source citizen tv.

Ulipata wapi matokeo hayo?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nini kimekuonyesha kuwa kura zimepigwa kikabila?, kama ni hivyo, inamaana wakikuyu ndio wengi Kenya?
 
Mi nilikuwa nazani Tume ndo imetangaza kumbe ni friends of Raila Odinga? basi watakuwa na nia ya kujiami kwa ajir ya kuja kupinga matokeo.
 
Mimi ninachofahamu ni kwamba kura za kenya ni za kikabila na kama makabila marafiki yatashirikiana basi mgombea wao bila shaka atashinda lakini Wakikuyu anapotoka Uhuru Kinyatta idadi yao wapo 22% na Raila Odinga ni Majaluo (LUO) wapo 11% kwa mtazamo huu Uhuru Kenyatta Atashinda bila shaka!. Lakini 2007 fujo zilitokea baada ya wafuasi wa Raila kujumlisha kura vituo vyote nchi nzima na kubaini kwamba wameshinda tume ikatangaza tofauti (PAKACHIMBIKA). Ninaunga mkono kila chama kujumlisha kura zao na tume itangaze kwa haki la sivyo (PATCHimbika). Hata hivyo hata hapa Bongo Huwa tunajumlisha kura kwenye vituo matokeo yanatangazwa tofauti. Tunavumilia lakini poa poa tu ipo siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…