'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima


Peter Keneth labda ni mgeni kwako, anazo allegations ambazo hazina majibu. Ameanzia chama cha mpira wa miguu cha kenya, alipopata popularity akahamia kwenye siasa.
 
Ngongo, subira kaka...usiogope. Sinachukii na wahindi, kama waliona ni vigumu kukaa Kenya, ni sawa pia, inaeleweka...wacha waelekee lakini haileti picha nzuri.
Kuna kura nyingi kutoka mkoa wa magharibi, nyanza na pwani ambazo hazijapeperushwa bado na iebc kwasababu ya tatizo moja au lingine. Kusema kweli hizi vidude vya BVR/EVDI systems vilikuwa na kasheshe nyingi sana. Zidisha haya na a failed safaricom VPN network meanin Presiding Officers have to deliver and release the results in person at the respective regional tallying centers instead of being digital......figure the line to beat, verification processess etc......si kazi rahisi. Shukrani kwa ujirani mwema sana sana kwa kuwapokea hao wahindi walala hoi....natumai watarudi tu baadae.
 
Last edited by a moderator:


Magufuli naye chadema.
 
Lakini kwa nini wasisubili mpaka mwisho! Lets wait lakini hii ni njia ya kujiandaa kupinga matokeo na kuwaada wa kenya wafikiri kuna uchakachuzi kama Raila atashindwa!

 
So far ni 42.04% ya matokeo yote ndiyo yametoka tu na bado zaidi ya 55% kuhesabiwa ambapo hadi 1812 hours Kenyata ni 2,735,353 na Uhuru 2,145,721 niko Citizen live. Kwa hiyo ndani ya hiyo over 55% haijahesabiwa kinaweze kutokea kitu. Kipenda kitasema.
 
At 1826 Uhuru 2,738,690 na Raila 2,149,365 kwa tofauti ya kura 589,325. Ni tofauti kubwa maana sasa ongezeko kwa kila mmoja wao ni dogo sana ikimaanisha wanachuana kwa karibu!!
 

Hata CCM kupitia kwa Dr. Magufuli walimsuport Raila lakini kuna uwezekano mkubwa Uhuru Kenyatta akashinda.
 
Last edited by a moderator:
Raila Odinga ameshinda nyie subirini tume!
 

UHURU KENYATTA
2,713,576​
53 %


RAILA ODINGA
2,129,107​
42 %


MUSALIA MUDAVADI
142,853​
3 %


PETER KENNETH
30,021​
1 %


MARTHA WANGARI KARUA
18,529​
0 %


JAMES LEGILISHO KIYIAPI
17,098​
0 %


MOHAMED ABDUBA DIDA
15,661​
0 %


PAUL KIBUGI MUITE
5,267​
0 %


Source IEBC | Find a Polling Station
 
Hivi unajua kwanini alipewa onyo kimya kimya???. Au hujui, waulize wenzako walioko Lumumba watakuambia ukweli. Hutamwona tena akimshabika classmate wake Odinga hadharani ili asijeshughulikiwa na chama chake.
RAO na Magufuli wamesoma wote wapi mzee? au unataka kututia mchanga wa macho? unajua RAO ana umri wa miaka 65 wakati magufuli miaka 53? ni wapi wamesoma ukizingatia RAO amesoma university of Magdeburg Ujerumani wakati magufuli UD?
 

Waelezee mkkuu maana hapa kuna watu wabishi kupitiliza, mpaka mida hii saa 1.15 matokeo kwa mujibu wa CITIZEN TV ni Uhuru 53.44% Odinga 42.02%, lakini bado watu wanakuja na taarifa za ajabu!!! Ni vizuri wakubali kushindwa na kwenda kujipanga upya
 

Hahahaaaaa!!! Mkuu kama unategemea kupatia relief huku basi andaa panadol kwani inaelekea leo ni siku yako ya maumivu kila pembe!!!
 
Hahahaaaaa!!! Mkuu kama unategemea kupatia relief huku basi andaa panadol kwani inaelekea leo ni siku yako ya maumivu kila pembe!!!

na kama kwenye soka yeye ni Manchesta United basi aongeza na aspirini za zamani maana maumivi yataongezeka maradufu kwani kichapo kutoka kwa Madrid hakikwepeki.
 
Alaf ni wazi Raila amejiandaa kuto kubali matokeo lets wait!
Hahahaaaaa!!! Mkuu kama unategemea kupatia relief huku basi andaa panadol kwani inaelekea leo ni siku yako ya maumivu kila pembe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…