Huyu Kenneth zaidi zaidi anachukua kura ambazo zingechukuliwa na Uhuru. All in all kama ningekuwa ni Mkenya, ningempigia sana debe huyu Bwana kwa sababu kubwa mbili;
1. Anaonekana ni mtu mwenye msimamo na anazungumza kwa kujiamini. Angepewa nafasi, angeweza kupambana na ufisadi kwa nguvu zake zote.
2. Ni mtu mgeni ambaye hajajihusisha sana na siasa za Kenya za wakati uliopita kwa hivyo yeye angekuwa neutral kwenye serikali yake. Lakini hawa wengine, yeyote atakayechukua nchi, lazima kulipiza visasi kutachukua nafasi yake.
Hao wengine kina Mudavadi ni dhahiri walijua kwamba nafasi yao ni ndogo lakini lazima wahakikishe wanaingia kwenye historia ya Kenya kwamba waliwahi kugombea urais.
Tiba
Peter Keneth labda ni mgeni kwako, anazo allegations ambazo hazina majibu. Ameanzia chama cha mpira wa miguu cha kenya, alipopata popularity akahamia kwenye siasa.