'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima

'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima

Huyu Kenneth zaidi zaidi anachukua kura ambazo zingechukuliwa na Uhuru. All in all kama ningekuwa ni Mkenya, ningempigia sana debe huyu Bwana kwa sababu kubwa mbili;

1. Anaonekana ni mtu mwenye msimamo na anazungumza kwa kujiamini. Angepewa nafasi, angeweza kupambana na ufisadi kwa nguvu zake zote.

2. Ni mtu mgeni ambaye hajajihusisha sana na siasa za Kenya za wakati uliopita kwa hivyo yeye angekuwa neutral kwenye serikali yake. Lakini hawa wengine, yeyote atakayechukua nchi, lazima kulipiza visasi kutachukua nafasi yake.

Hao wengine kina Mudavadi ni dhahiri walijua kwamba nafasi yao ni ndogo lakini lazima wahakikishe wanaingia kwenye historia ya Kenya kwamba waliwahi kugombea urais.

Tiba

Peter Keneth labda ni mgeni kwako, anazo allegations ambazo hazina majibu. Ameanzia chama cha mpira wa miguu cha kenya, alipopata popularity akahamia kwenye siasa.
 
Ngongo, subira kaka...usiogope. Sinachukii na wahindi, kama waliona ni vigumu kukaa Kenya, ni sawa pia, inaeleweka...wacha waelekee lakini haileti picha nzuri.
Kuna kura nyingi kutoka mkoa wa magharibi, nyanza na pwani ambazo hazijapeperushwa bado na iebc kwasababu ya tatizo moja au lingine. Kusema kweli hizi vidude vya BVR/EVDI systems vilikuwa na kasheshe nyingi sana. Zidisha haya na a failed safaricom VPN network meanin Presiding Officers have to deliver and release the results in person at the respective regional tallying centers instead of being digital......figure the line to beat, verification processess etc......si kazi rahisi. Shukrani kwa ujirani mwema sana sana kwa kuwapokea hao wahindi walala hoi....natumai watarudi tu baadae.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.


Magufuli naye chadema.
 
Lakini kwa nini wasisubili mpaka mwisho! Lets wait lakini hii ni njia ya kujiandaa kupinga matokeo na kuwaada wa kenya wafikiri kuna uchakachuzi kama Raila atashindwa!

Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Kenya nami ninakubaliana na hao friends of Raila kuwa ameshinda kwa sababu mbili kuu zifuatazo; Kwanza matokeo yaliyoanza kutolewa na kuonyesha Uhuru Kenyatta kuongoza kumbe yalikuwa ni yale ya kutoka katika ngome za kwao Rift Valley na mengi ya matokeo kutoka jimbo la Nyanza Kisumu ambako Raila ana wapenzi wengi wengi yalikuwa hayajaletwa kujumlishwa.Pili,meneo ya Pwani yamemchagua Raila kwa wingi wa kura.Ukiangalia matokeo yalivyo sasa hivi mchuano si wa mbali sana jambo linalonishawishi kuwa hizo kura za Kisumu karibu majimbo 7 yakijumlishwa pamoja na yale ya Mombasa hii inampa Raila ushindi mkuwa kabisa usiohitaji hata marudio ya uchaguzi.
 
So far ni 42.04% ya matokeo yote ndiyo yametoka tu na bado zaidi ya 55% kuhesabiwa ambapo hadi 1812 hours Kenyata ni 2,735,353 na Uhuru 2,145,721 niko Citizen live. Kwa hiyo ndani ya hiyo over 55% haijahesabiwa kinaweze kutokea kitu. Kipenda kitasema.
 
At 1826 Uhuru 2,738,690 na Raila 2,149,365 kwa tofauti ya kura 589,325. Ni tofauti kubwa maana sasa ongezeko kwa kila mmoja wao ni dogo sana ikimaanisha wanachuana kwa karibu!!
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

Hata CCM kupitia kwa Dr. Magufuli walimsuport Raila lakini kuna uwezekano mkubwa Uhuru Kenyatta akashinda.
 
Last edited by a moderator:
00B552B6-9B67-E211-8158-00505687000D.jpg
035.jpg

UHURU KENYATTA
2,713,576​
53 %

AB0C4EF9-E866-E211-A3B9-00505687000D.jpg
021.jpg

RAILA ODINGA
2,129,107​
42 %

C7F1457A-B367-E211-8158-00505687000D.jpg
006.jpg

MUSALIA MUDAVADI
142,853​
3 %

E0BACBCB-1167-E211-A3B9-00505687000D.jpg
009.jpg

PETER KENNETH
30,021​
1 %

E1D5D61D-5B66-E211-A3B9-00505687000D.jpg
001.jpg

MARTHA WANGARI KARUA
18,529​
0 %

425CCD40-5A66-E211-A3B9-00505687000D.jpg
008.jpg

JAMES LEGILISHO KIYIAPI
17,098​
0 %

5FFCD75B-A067-E211-8158-00505687000D.jpg
055.jpg

MOHAMED ABDUBA DIDA
15,661​
0 %

E8FB947D-0767-E211-A3B9-00505687000D.jpg
034.jpg

PAUL KIBUGI MUITE
5,267​
0 %


Source IEBC | Find a Polling Station
 
Hivi unajua kwanini alipewa onyo kimya kimya???. Au hujui, waulize wenzako walioko Lumumba watakuambia ukweli. Hutamwona tena akimshabika classmate wake Odinga hadharani ili asijeshughulikiwa na chama chake.
RAO na Magufuli wamesoma wote wapi mzee? au unataka kututia mchanga wa macho? unajua RAO ana umri wa miaka 65 wakati magufuli miaka 53? ni wapi wamesoma ukizingatia RAO amesoma university of Magdeburg Ujerumani wakati magufuli UD?
 
...Jubilee Team imeshamaliza kazi ya kujumlisha kura, kupitia taarifa za mawakala wao waliokuwepo kwenye vituo vya kura nchi nzima, wanasema matokeo ni mazuri kwao ila hawawezi kuyatangaza kwa sababu kisheria ni tume tu ndio inapaswa kutangaza, timu yao saizi inafanya kazi ya kuhakiki matokeo ya tume yanayotangaza kuhakikisha kuwa yanafanana na yale ya vituoni. Pia Jubillee wameshaandaa jukwaa ambalo Uhuru Kenyatta na Ruto watatoa hotuba zao, baada ya Tume kutangaza rasmi matokeo...


...Source: CITIZEN TV LIVE..


MyTake: kutokana na confidence ya Jubilee kwenye centre yao ya kujumlisha kura, Conclusion ni kuwa Uhuru Kenyatta ameongoza kura za Urais ILA TUSICHOJUA NI KAMA KAPATA ZAIDI YA 50% ILI KUEPUKA KURA YA MARUDIO..

Waelezee mkkuu maana hapa kuna watu wabishi kupitiliza, mpaka mida hii saa 1.15 matokeo kwa mujibu wa CITIZEN TV ni Uhuru 53.44% Odinga 42.02%, lakini bado watu wanakuja na taarifa za ajabu!!! Ni vizuri wakubali kushindwa na kwenda kujipanga upya
 
Mkuu wangu livefire mimi nilitaka Raila ashinde huu mtanange bahati mbaya tangu jana mpaka leo anatimuliwa vumbi mtindo mmoja kiasi kwamba sisi mashabiki wake huku Tz tumeshanyoosha mikono juu kuashiria tumeshindwa.Ghafla bin vuu wanatokea wachokonozi wanatupa moyo jembe letu Raila anaweza shinda !.

Nimeshakata tamaa nasubiri mechi ya Real na Manchester tumpige Jose ili tupunguze maumivu y kushindwa na wahalifu wa ICC.

Hahahaaaaa!!! Mkuu kama unategemea kupatia relief huku basi andaa panadol kwani inaelekea leo ni siku yako ya maumivu kila pembe!!!
 
Hahahaaaaa!!! Mkuu kama unategemea kupatia relief huku basi andaa panadol kwani inaelekea leo ni siku yako ya maumivu kila pembe!!!

na kama kwenye soka yeye ni Manchesta United basi aongeza na aspirini za zamani maana maumivi yataongezeka maradufu kwani kichapo kutoka kwa Madrid hakikwepeki.
 
Alaf ni wazi Raila amejiandaa kuto kubali matokeo lets wait!
Hahahaaaaa!!! Mkuu kama unategemea kupatia relief huku basi andaa panadol kwani inaelekea leo ni siku yako ya maumivu kila pembe!!!
 
Back
Top Bottom