Friends of Simba kubalini matokeo kwa maslahi ya Simba, vinginevyo Yanga wapewe kombe lao mapema

Friends of Simba kubalini matokeo kwa maslahi ya Simba, vinginevyo Yanga wapewe kombe lao mapema

Kila mnafanya vibaya mnatafuta mchawi.
Kila Yanga inaposhinda mnasingizia Yanga bahasha.
Tatizo timu haina hela ombaomba kwa MO.
Ebu tatueni tatizo la mapatoya Simba kuwa bilioni3.9.zama za ufadhili na bakuli zimeisha.
Sasa mwendo wa udhamini katika mikataba ya kweli sio feki
 
Back
Top Bottom