Friendship between Kenyans and Tanzanians

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
Tanzanian children with signs demanding Jomo Kenyatta's release. March, 1961.
1477885663614.jpg
 
Hata ule uhuru wa kenya ulisaidiwa sana na TZ.

Nyerere alienda kenya kumuona Kenyatta jela. Nyerere alipofika jela hakuongea chochote na Kenyatta alimtazama machoni tu kisha akarudi TZ.

Kesho yake Kenyatta aliachiwa huru. Baada tu ya kuachiwa huru Kenyatta alikuja Dar kuonana na Nyerere akapewa mbinu za kupata uhuru.

Lakini wakenya hawataki kujifunza historia hiyo.

Vilevile unajua kwanini TZ ilechelewa kupata uhuru? Ni kwamba tulitaka nchi zote za Africa mashariki tupate uhuru siku moja.

Sisi tungeweza kupata uhuru kabla ya 1961.

Nyie wadogo zetu kenya someni historia mjue.
 
Kesho yake Kenyatta aliachiwa huru.
Hizi ndio habari zinazomfanya Nyerere adharauliwe... Wabongo mnawaza ushirikina tu!
 
Acha uzuzu wewe. Unajua tafsiri ya Nyerere kwenda kuonana na Kenyatta bila kuongea?

Akili zako zimekaa kiushirikina shirikina. Tumia akili wewe acha uzuzu.
 
Dada Anna usipaniki! Hiyo sio sifa nzuri kwa Nyerere! No wonder, Mandela looked stronger than Nyerere, ni kwa sababu ya ninyi kumuunganisha Nyerere na imani zenu!
 
Ficha upumbavu wako hapa. Hayo mambo ya ushirikina umeyasema wewe shenzi type.
Unataka kulazimisha vitu ambavyo havipo. Sisi tunakufundisha historia badala ya kujifunza unaleta mambo ya ushirikina.

Halafu usivyo na adabu sisi tunaongelea issue ya uhusiano wetu na Kenya wewe unaleta stori za Mandela.

Wewe huoni hata aibu. AU wamejenga jengo la amani la Nyerere huko Addis Ababa Ethiopia. Huoni heshima kubws kapewa na Africa nzima kiwa yeye ni baba wa Amani na usuruhishi wa kidiplomasia?

Toa uzuzu wewe soma historia itakusaidia sana katika afya ya akili yako.

Acha ufinyu wa kiakili. Maximize your brain's ability.
 
Kashiba maharage huyo
 
You talk too much, I will talk less! Acheni kumfanya Nyerere aonekane kama alikuwa mganga wa kienyeji! Nyerere did his best for many!
 
Nani kasema hivyo acha upumbavu wewe. Acha kunilisha maneno ambayo sijasema. Hebu niwekee wapi nimesema hivyo.

Mbona unakuwa na upumbavu kiasi hicho!!? Unataka kulazimisha kitu ambacho sijasema. Kama wewe sio zuzu ni nini sasa?
 
Hata ule uhuru wa kenya ulisaidiwa sana na TZ.

Nyerere alienda kenya kumuona Kenyatta jela. Nyerere alipofika jela hakuongea chochote na Kenyatta alimtazama machoni tu kisha akarudi TZ.

Kesho yake Kenyatta aliachiwa huru. Baada tu ya kuachiwa huru Kenyatta alikuja Dar kuonana na Nyerere akapewa mbinu za kupata uhuru.

Lakini wakenya hawataki kujifunza historia hiyo.

Vilevile unajua kwanini TZ ilechelewa kupata uhuru? Ni kwamba tulitaka nchi zote za Africa mashariki tupate uhuru siku moja.

Sisi tungeweza kupata uhuru kabla ya 1961.

Nyie wadogo zetu kenya someni historia mjue.
Hehe unaota
 
Vita vya Uhuru wa kenya ndio yalikuwa the most bloody kwa all of british Empires

Kama mnadhani Tz mlisaidia chochote mnaota

British airforce after worldwar 2 ilikuwa transfered to kenya to help fight Freedom fighters in the jungle
1477899701760.png

1477899748948.png

Even A white Judge in 1950 compared British colonialist in kenya to the Nazis in Germany

1477899841616.png

They Tortured kenyans Bad read this description one british officer said how the british Conducted their tortures
But Kenyans Never caved ....u die without snitchin

1477900068464.png
1477900072330.png

Mind you The entire British Fleet of Navy was stationed in Mombasa during the world war 2 after japans Pearl habour incident so All their spies were in Kenya too....
1477900247069.png

1477900254259.png

THEY STARVED KENYANS during world war 1 and said all who joined the army and fight the Germans in Tanganyika would get food and decent treatment but after we won The war and removed germans from Tanzania they never did anything even marking the graves of their dead soldiers

During the world war 2 the conscripted kenyans to go fight in
Ethiopia
Japan
Somalia and
Libya against italians and japanese people we helped ethiopia achieve independence came back home to be put in reserves and made wear kipandes .....@annael Tanzania doesnt know anything Hamja pigania uhuru wenu so shut the https://jamii.app/JFUserGuide up!!
 
Annael Tukiwaambia JWTZ hamwezi chochote mnadhani wakenya ni mafala

Kenya Tumeshinda vitani toka 1890-2016 Albeit some small scale kama hii ya somalia

TANZANIA HAMJA PIGANA CHOCHOTE sasa hamuezi jua Kupigania uhuru Ni nini haswa !!!.....mtaongea juu ya nyerere na mlivyo ikomboa africa lakini hamjui Nini vita haswa

Kenya Army Ilikuwa initially Known as Kings African Army

Wacha sasa nikupe mafunzo ndio utambue Iliformiwa 1914 after world war 1 imeanza hivi punde
1477901524077.png
1477901530286.png
1477901536446.png
1477901542126.png

Wakenya Hawakuingia somalia juzi Tumekuwa tukizingua waSomali toka 1900 nabado Tunaendelea kuwapa chao kichapo Hadi hii 2016

Hapa Tuliingia somalia 1900 kutoa Mfalme wao Mamlakani 116yrs ago!!!
1477901617152.png

Baadaye Tulipigana Na WaITALIA Na tukawashinda vilivyo WW2
1477901686725.png
FIRST WORLD WAR TULIINGIA TANGANYIKA KUWATOA ujerumani kwenu
1477901709510.png

Baada ya Vita vya pili vya dunia ukanda wa Africa mashariki kukamilika wakoloni wakaamua kuPeleka wakenya Asia kupigana na wajapani

Kule Baba ya Obama alienda pia alikuwa Cook kwa camp flani ....not the point...

1477901830944.png
1477901850348.png
1477901872187.png
1477901882957.png
1477901890967.png
 
So let me Now give you An in depth analysis ya World war 2

At the begin of the war in 1939 KAR had only 9000 soldiers But By 1940 it has about 78000 soldiers (kenyans) fighting in Ethiopia alone

By 1943 when Italian forces surrendered There were more than 249,000 kenyan soldiers in Libya Eritrea Somalia and Ethiopia ...
1477902224313.png
1477902234556.png
1477902247398.png

Vita Vikuu vya dunia Ukanda wa Afrika mashariki na magharibi Vilianzia Kenya wajir district wakati Ndege za Italia ziliamua kulipua Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini

1477902257496.png
1477902358279.png

Haya ndio nchi zote zilizo Husika

U will notice Tanganyika Haiku husika kwa lolote

Kenya, Ethiopia Sudani Somalia Italia na Britain ndio walio toa most number of troops

1477902369646.png
1477902382607.png

Number of Troops by country!!

1477902485931.png
1477902537997.png
1477902567836.png
1477902596096.png
1477902614026.png
due to this suprise attack by sudan defence forces in Elwak town then a somali territory Elwak rejoined Kenya
1477902635837.png

1477902695276.png

Annael Vita vya kenya ni wakenya pekee wanavijua

Utasema kenya is not safe
But we alone know how kenya has been toka 1890

Tumekuwa tunaenda vita baada ya vingine nyie moja ya Uganda 1976 mnadhani mumefika ....hamjui chochote

Kenya toka 1914 WW1-1932WW2-1950 MALAYAM WAR- 1955 MAU MAU REVOLT-1960 KOREAN WAR-1967 SHIFTA REVOLT-2005 ELGON INSURGENCY-2011 SOMALIA WAR!!!......

NABADO.....
 
Back
Top Bottom