Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

Rabama

Member
Joined
Dec 19, 2019
Posts
89
Reaction score
62
👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu.

👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza

🙏Bei yake 495,000/=
Naliuza kwa sababu na shida

Piga simu leo
0713 532 614

👆Halina shida yoyote njoo ukague

Location Bunju B

IMG_20231207_072848.jpg
IMG_20231207_072908.jpg
IMG_20231201_174615.jpg
IMG_20231201_120651.jpg
IMG_2384.JPG
 
Lina Muda gani tangu ulinunue?

Umeshalijaza gas mara ngapi tangu ulitoe dukani?

Matengenezo gani Mengine umeshawahi yafanya?
 
Lina Muda gani tangu ulinunue?

Umeshalijaza gas mara ngapi tangu ulitoe dukani?

Matengenezo gani Mengine umeshawahi yafanya?
Kama miaka 2 hiv

Nimejaza mara Moja Tena haujaisha hata mwezi Toka nimejaza

Hakuna matengenezo yoyote zaidi ya kuchomea valve ya gesi tu.

Ukija kununua unaljalb kwanza ukijilidhisha ndio unachukua na ukihitaj guarantee ntakupa Ili uwe na uhakika kwamba sio mbovu Wala hakuna janja janja.

Kalbu mkuu nakusikilza
 
Linaweza kufaa kwa duka?
Yeah Kwa sababu Kuna batton ya kuwezesha ligandishe haraka au taratibu kwaiyo ni wewe tu kuchagua na Kwa dukan linafaa sana na unaweza panga vinywaji vingi
 
Linaweza kufaa kwa duka?
hilo sio commercial Fridge ni friji bora sana kwa matumizi ya nyumbani ila sio kibiashara.

Ukilipigisha kazi kibiashara unalichosha unaliua haraka halikuundwa kwa ajili hiyo.

Ni sawa ununue BMW ukaibebeee Mchaka au Mawe,sio kwamba haibebi ila unaichosha gari haikuundwa kwa kazi hizo.

Buy it kwa matumizi ya nyumbani hilo friji bomba ila kibiashara (for your own risk)
 
Back
Top Bottom