Rabama
Member
- Dec 19, 2019
- 89
- 62
- Thread starter
- #21
Unacho sema kinaweza kuwa kwel au Si kwelhilo sio commercial Fridge ni friji bora sana kwa matumizi ya nyumbani ila sio kibiashara.
Ukilipigisha kazi kibiashara unalichosha unaliua haraka halikuundwa kwa ajili hiyo.
Ni sawa ununue BMW ukaibebeee Mchaka au Mawe,sio kwamba haibebi ila unaichosha gari haikuundwa kwa kazi hizo.
Buy it kwa matumizi ya nyumbani hilo friji bomba ila kibiashara (for your own risk)
My fact.
1.hii fridge Ina door alarm ambapo ukiiacha Waz ndan 1-2 min inapiga alarm ili uifunge
Kwaiyo inakuwezesha kuitumia kwa biashara kwa sababu hakuna madhara yoyote yatatokea unapo ifungua mara kwa mara.
2.Ina large capacity ambapo inakuwezesha kupanga vitu vingi
3. Ina temperature control system ambapo uta set kutokana na matumiz yako ya nyumban au biashara kwa sababu inapendekezwa usitumie fridge linalo anzia 20° temp so hii ina anzia 18° temp ambayo n sawa kabsa
4. Ina Thermostat kwa ajili ya control compressor kujizima yenyew ubadili unapo tosha kwenye vinywaji hivyo kuzuia chupa kupasuka na kujiwasha yenyew inapo sense vinywaji vimeanza pata joto.
Hivyo itakusaidia kuokoa umeme pia.
Mkuu Sasa ni feature ipi ambayo haikiz mahitaji ya commercial?