Ningekuwa dar tungefanya biashara....sema npo mkoani
hii feature imenikuna kweli kweliLina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu.
Kama miaka 2 hivLina Muda gani tangu ulinunue?
Umeshalijaza gas mara ngapi tangu ulitoe dukani?
Matengenezo gani Mengine umeshawahi yafanya?
hilo sio commercial Fridge ni friji bora sana kwa matumizi ya nyumbani ila sio kibiashara.Linaweza kufaa kwa duka?