Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya mlango mmoja au
Fridge za sasa zipo automatic barid likifika
Kiwango stahiki linazima barid ikipungua linajiwasha. Iyo process inasaidia kutunza umeme. Fridge yangu ni westpoint ukubwa wa wastani linakula kma 1.1unit kwa siku
Asantehamna cha ya sasa, hata ya zamani yapo hivyo. home kuna fridge ya 98 na ilinunuliwa mtumba ina thermalstat. issue ni kwamba ma fridge ya zamani hayakuwa optimized kwenye kupunguza matumizi ya power.
Ndio maana huwa hatushauri enzi hizi kununua TV ya mtumba au Fridge la mtumba bila kuangalia energy rating hata kama linauza bei nafuu
View attachment 1956562
Ukinunua fridge au kifaa cha electronic/ Consumer electronic hakikisha kipo rated kuanzia A+ sio chini ya hapo Ukipata cha A++ au A+++ ni vizuri zaidi japo ni vigumu sana na ni kwa baadhi ya vifaa
Ukinunua kuanzia A kushuka chini na kama kifaa hicho muda wate kipo kwenye umeme, Mfano TV, Radio lazima utoe mlio wa Nokia tochi
Unit moja sio shida mkuu kwa friji tuKama matumizi yako ya umeme kwa siku ni chini ya unit 3.0, sisi ndo wale wa hali ya chini serikali na dunia inatuzungumzia, friji la nini tena?
Standard friji, kwa levo yetu, linapaswa kugongwa chini ya unit 1 kwa siku/24hrs
Mkuu icho ni kiwanda, hapo ukiongeza na vyerehani V 3 tayari ni plantFridge za sasa zipo automatic barid likifika
Kiwango stahiki linazima barid ikipungua linajiwasha. Iyo process inasaidia kutunza umeme. Fridge yangu ni westpoint ukubwa wa wastani linakula kma 1.1unit kwa siku
Miaka yote friji na friza hujizima, unaposema za sikuhizi unamanisha nini?Fridge za sasa zipo automatic barid likifika
Kiwango stahiki linazima barid ikipungua linajiwasha. Iyo process inasaidia kutunza umeme. Fridge yangu ni westpoint ukubwa wa wastani linakula kma 1.1unit kwa siku
Hizi rate kwenye friji unaziona waphamna cha ya sasa, hata ya zamani yapo hivyo. home kuna fridge ya 98 na ilinunuliwa mtumba ina thermalstat. issue ni kwamba ma fridge ya zamani hayakuwa optimized kwenye kupunguza matumizi ya power.
Ndio maana huwa hatushauri enzi hizi kununua TV ya mtumba au Fridge la mtumba bila kuangalia energy rating hata kama linauza bei nafuu
View attachment 1956562
Ukinunua fridge au kifaa cha electronic/ Consumer electronic hakikisha kipo rated kuanzia A+ sio chini ya hapo Ukipata cha A++ au A+++ ni vizuri zaidi japo ni vigumu sana na ni kwa baadhi ya vifaa
Ukinunua kuanzia A kushuka chini na kama kifaa hicho muda wate kipo kwenye umeme, Mfano TV, Radio lazima utoe mlio wa Nokia tochi
Ina maana we mita yako ya umeme umefunga kwenye friji tu au unajuaje friji linakula unit ngapi wakati humo ndani kuna vifaa vingine vingi vya umeme?Fridge za sasa zipo automatic barid likifika
Kiwango stahiki linazima barid ikipungua linajiwasha. Iyo process inasaidia kutunza umeme. Fridge yangu ni westpoint ukubwa wa wastani linakula kma 1.1unit kwa siku
Do the oppositeInashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Fridge kama ni nzima huna haja ya kulizima na kuwasha maana ndo litakula umeme zaidi, acha thermostat ifanye kaziInashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Sio kweli,yaani kwa 24hrs linatumia unit 01?Fridge za sasa zipo automatic barid likifika
Kiwango stahiki linazima barid ikipungua linajiwasha. Iyo process inasaidia kutunza umeme. Fridge yangu ni westpoint ukubwa wa wastani linakula kma 1.1unit kwa siku
Do the opposite
zima mchama maana kuna joto washa usiku
Nlimaanisha kusevu umeme hasa kama unatumia frizaEinstein umeelewa ulichoandika?
Kwa mchana joto la nje ni kubwa zaidi so friji ukiizima itapoteza ubaridi haraka zaidi ili kubalance temp so haitadumu na ubaridi ulio bora kwa muda mrefu.
Ila ukizima usiku joto la nje ni dogo so itatumia muda mfupi kubalance temp so itakaa na ubaridi muda mrefu.
For the case of ku save umeme. You are right mchana umeme unatumika zaidi kwa sababu ya joto la nje. Ila kwa matumizi sahii ya friji na kuhifadhi vyakula you are wrong...