Friji lako huwa linatumia units ngapi za umeme kwa siku?

Friji lako huwa linatumia units ngapi za umeme kwa siku?

Do the opposite
zima mchama maana kuna joto washa usiku
Dah mi kuna fundi alinishauri kwamba kwa kuwa usiku friji inakuwa haifunguliwifunguliwi Sana basi unaweza iswitch off vitu ndani haviwezi kuharibika kwani baridi itaendelea kuwepo mchana mkuu wanafungua fungua friji ukiizima si ubaridi utakwisha ndani ya friji
 
Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Kwanini mkuu wakat naskia linatakiwaga lingurume 24/7
 
Angali frji yako ina whts ngapi ili upate jibu kirahisi
Friju lako huwa linatumia kiasi gani cha umeme kwa siku?

Ni aina gani na ukubwa jee na brand?

Tupeane mbinu za kufanya friji zitumie umeme mdogo
 
La kwangu linakula unit 4 kwa siku, niliambiwa ni matumizi makubwa ya umeme.....najipanga kununua jipya.
 
Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Friji unaweka nguo au mawe
 
Friji unaweka nguo au mawe

Mkuu Punda kwani hujui kazi ya friji? Usiku Kama friji halitumiki hususani muda wa kwenda kulala unashauriwa uzime vitu vya umeme ambavyo havina umuhimu Sana mfano redio,TV,taa za ndani.
Friji likizimwa usiku Kama halijafunguliwa ubaridi hauishi ndani na vitu haviharibiki
 
Utafanyaje mahesabu Kwenye nyumba mnayoishi watu wengi let say watoto, mfanyakazi wa ndani, wanawasha taa vyumbani kwao au wanapasi au wanatumia laptop vyumbani wakati hujui

kaka fridge linajulikana lina watts ngapi. na pia ukijua muda ambao linakuwa on kujua units zinazotumika ni sekunde 0 tuu
 
Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Usiku ndo matumizi ya umeme hushuka na ndo mda sahihi wa kuliacha friji on,,
Friji za watt chini ya 300 ndo hazitumii sana umeme
 
Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Lakini ukiliwasha asubuhi si linaanza upya kufanya kazi ?
 
Back
Top Bottom