Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi nina friji, taa kubwa za nje 5, taa za ndani 10, natumia hizo unit 4 kwa siku 24 hours.La kwangu linakula unit 4 kwa siku, niliambiwa ni matumizi makubwa ya umeme.....najipanga kununua jipya.
Hilo siyo friji ni jini, likikosa kunyonya umeme litakunyonya damu ufe.
By the way muite fundi aangalie leakage ya umeme hapo kwako, something wrong somewhere.