evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Dah mi kuna fundi alinishauri kwamba kwa kuwa usiku friji inakuwa haifunguliwifunguliwi Sana basi unaweza iswitch off vitu ndani haviwezi kuharibika kwani baridi itaendelea kuwepo mchana mkuu wanafungua fungua friji ukiizima si ubaridi utakwisha ndani ya frijiDo the opposite
zima mchama maana kuna joto washa usiku
Kwanini mkuu wakat naskia linatakiwaga lingurume 24/7Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Friju lako huwa linatumia kiasi gani cha umeme kwa siku?
Ni aina gani na ukubwa jee na brand?
Tupeane mbinu za kufanya friji zitumie umeme mdogo
Hizi rate kwenye friji unaziona wap
Ina maana we mita yako ya umeme umefunga kwenye friji tu au unajuaje friji linakula unit ngapi wakati humo ndani kuna vifaa vingine vingi vya umeme?
Utafanyaje mahesabu Kwenye nyumba mnayoishi watu wengi let say watoto, mfanyakazi wa ndani, wanawasha taa vyumbani kwao au wanapasi au wanatumia laptop vyumbani wakati hujuiunafanya hesabu unajua
Friji unaweka nguo au maweInashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Friji unaweka nguo au mawe
Utafanyaje mahesabu Kwenye nyumba mnayoishi watu wengi let say watoto, mfanyakazi wa ndani, wanawasha taa vyumbani kwao au wanapasi au wanatumia laptop vyumbani wakati hujui
La kwangu linakula unit 4 kwa siku, niliambiwa ni matumizi makubwa ya umeme.....najipanga kununua jipya.
420 KWh kwa mwaka ni aina ya VonFriju lako huwa linatumia kiasi gani cha umeme kwa siku?
Ni aina gani na ukubwa jee na brand?
Tupeane mbinu za kufanya friji zitumie umeme mdogo
Usiku ndo matumizi ya umeme hushuka na ndo mda sahihi wa kuliacha friji on,,Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Siri ya friji angalua ni watts ngapi,, hakikisha liko watt 300 au chini yakeNunua LG mpya.zinatumia umeme.mdogo sana
Lakini ukiliwasha asubuhi si linaanza upya kufanya kazi ?Inashauriwa pia ulizime friji mida ya usiku na uliwashe kuanzia asubuhi hadi jioni.
Kuliacha friji lipo on mida ya usiku ni matumizi mabaya ya umeme ni Kama kuacha taa za nje zinawaka mida ya mchana
Ukilifungua isizidi dakika 15Kulifungua frij na kuliwacha wazi kutasababisha frij kula umeme mwingi.