Mimi nina friji, taa kubwa za nje 5, taa za ndani 10, natumia hizo unit 4 kwa siku 24 hours.
Hilo siyo friji ni jini, likikosa kunyonya umeme litakunyonya damu ufe.
By the way muite fundi aangalie leakage ya umeme hapo kwako, something wrong somewhere.