Maana yake si Yanga wala Simba ina hela zake yenyewe. Bado matajiri wameshika hatamu. Nje ya pesa za matajiri, hakuna timu inaingiza pesa kukidhi mahitaji yake ya uendeshaji ikiwwmo mishahara.
TFF iwe makini hii timu inakuja kututia aibu mpaka tusiohusika
Noma mbaya kabisa. Tukiweza walipa wachezaji wetu vizuri... simba hatuwezi.
Mp fcYanga wanasainisha wachezaji mikataba inakaa kweye kistuli cha kukalia,,,!!!!?
Mbona hawataki kubadilika hawa mbumbu fc?View attachment 1541050View attachment 1541051
View attachment 1541057
Mwamedi mbahili, ameifanya 5imba kituo cha kulea wazee, anasajili wachezaji wasiokuwa na mikataba ambao wameshachoka!Wafuatilie stats zao, Tuisila hajafunga wala kutoa assist msimu huu. Inaonekana alikuwa anakaa benchi muda mrefu sana.
Ilikuwa wakati ule. Sasa wataenda sambamba.Sasa kama zote Simba na Yanga zinategemea matajiri iweje huyo Tajiri wa Yanga hawalipi mishahara vizuri wachezaji hadi wanakimbia? Kwa maana hiyo Mo ni zaidi ya GSM
Hao wazee waliwalambisha mchanga watoto wa Yanga 4-1.Mwamedi mbahili, ameifanya 5imba kituo cha kulea wazee, anasajili wachezaji wasiokuwa na mikataba ambao wameshachoka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, Mwamedi amebadilisha logo na jina la timu, timu inaitwa Shikamoo SCHao wazee waliwalambisha mchanga watoto wa Yanga 4-1.
Hao wazee wamechukua makombe matatu (treble)
Bora kuwa na wazee wanaojua mpira kuliko vijana Utopolo.
Sikudanganyi mabadiliko unayoona yanga ni kwa vile wanaiga kwa simba baada ya kuona aibu ,vitu vingi vya maendeleo yanga ni simba ndo wameanzisha ,wakikejeliwa na wao ndo wanaiga
Watoto wa Yanga siku ya 4G walilala na viatu. Wameamua kufukuza timu yote wamesajili upya sasa subiri Prison atakavyowachakaza hiyo tarehe 6/9.Aisee, Mwamedi amebadilisha logo na jina la timu, timu inaitwa Shikamoo SC
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba day tangu 2010 no shamrashamra za kujitolea kwa jamii kwa week mojaSio kweli mkuu.
Mbona kuna mengi tumewaiga?
1. Sisi tulikuwa na Simba day.....Utopolo wakaja na Wiki Ya Mwananchi. Tukawaiga na sisi tukawa na Wiki Ya Simba.
2. Utopolo walikuwa na ajenda ya kubadili Yanga kuwa ya uwekezaji. Unakumbuka enzi zile ambapo kulitokea na makundi mawili yanga asili na yanga original. Ugomvi ulizaliwa ma baadhi ya wanachama wao kutaka klabu iendeshwe kisasa, wengine wakajitenga na wakajiita yanga asili.
Ilikuwa wakati ule. Sasa wataenda sambamba.
By the way, wachezaji wapya wanajua kuwa ni mwendo wa kupanda basi msimu mzima wa ligi?
GSM ilikuwa na bado haijashika hatamu vizuri. Subiri GSM washike usukani. Mo itakuwa cha mtoto.Kwamba ilikuwa wakati ule upi? Si ni msimu uliopita tu BM na Tshimbi wamesajaliwa chini ya GSM? Acha tupeane muda Mkuu,baada ya miezi sita nitarejea hii comment yako na nitakukumbusha!
GSM ilikuwa na bado haijashika hatamu vizuri. Subiri GSM washike usukani. Mo itakuwa cha mtoto.
Mabillion yatawekwa sio hadithi za Mo
Subiri mchakato ukamilike. Utakuwa bora kuliko wenu wenye Mo pekee kama kinara.Ha hah ha ha nimecheka kwa nguvu aisee,haya Mkuu nitakukumbusha baada ya miezi Sita! Lakini nima swali moja la mwisho,kwa hiyo sasa hivi GSM ndiyo wanaiendesha Yanga na si Kina Msolla tena? Na hao wachezaji wanasajiliwa na GSM so nitakuwa sahihi nikiwaita hao ni Yanga GSM?
Subiri mchakato ukamilike. Utakuwa bora kuliko wenu wenye Mo pekee kama kinara.
Thamani ya Yanga sio biliion 20. Wala sio biliion 100. Ni zaidi ya hapo
Simba day tangu 2010 no shamrashamra za kujitolea kwa jamii kwa week moja
Senzo ni kawaida take hatulii sehemu moja we we jaribu soma historia yake utafurahi yaani ile ndio hama yake we we ngoja uone atakavyohama YangaMkuu kwa mpira wetu wa kiafrika hata hakuna sababu ya kuenenda kisasa. Maana hata sisi tulikimbiwa na Senzo mtu ambaye alikuwa na wajibu wa kusimika mizizi wa uweledi klabuni, na ndio maana tukaona ni sawa kukimbiwa na mtu kama yeye hata kama itatugharimu kusajili wachezaji walioshindikana kwa nidhamu pahala pengine.
Hahaha wanapita nyumba kwa nyumba...Hivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki