Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umekuwa ukificha kujionyesha kuwa ni shabiki wa Yanga, unaogopa nini?Hongereni watani zangu a.k.a Utopolo. Sajili zenu zinatushangaza sana ukizingatia hali yenu ya kiuchumi hivi sasa.
Hivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki
Hivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki
Hivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki
qmmk.
Senzo Double Agent ni mweledi? Mizizi ipi hiyo? unayosema wewe Simba ile si kakuta kila kitu, kipi kakiasisi yeye?Mkuu kwa mpira wetu wa kiafrika hata hakuna sababu ya kuenenda kisasa. Maana hata sisi tulikimbiwa na Senzo mtu ambaye alikuwa na wajibu wa kusimika mizizi wa uweledi klabuni, na ndio maana tukaona ni sawa kukimbiwa na mtu kama yeye hata kama itatugharimu kusajili wachezaji walioshindikana kwa nidhamu pahala pengine.
Juzi juzi tu Rage alikuwa akiwasainisha nyumbani kwake. Mmesahau?Hivi hawanaga sehemu nzuri ya kukaa wakati wanawasainisha?kila saini wanafanya kwenye makorido na nyumba za watu ndo maana mikataba inakuwa feki
Angalia quality ya wachezaji. Hizo formalities zitakuja baadaye. Hata Ulaya kuna wachezaji wanasainishwa hotelini lakini kunakuwa na formal presentation baadaye.GSM ilikuwa ndio muda wao wa kujitangaza vzr Sasa sjui huwa wanafeli wapi kuweka bango kwa nyuma. Hawamuoni Muhammed anachofanyaga
Wafuatilie stats zao, Tuisila hajafunga wala kutoa assist msimu huu. Inaonekana alikuwa anakaa benchi muda mrefu sana.Tuisila na Mukoko wako vizuri, hakika ni usajili mzuri
Wafuatilie stats zao, Tuisila hajafunga wala kutoa assist msimu huu. Inaonekana alikuwa anakaa benchi muda mrefu sana.
Hapa Yanga wameutendea haki mpira wa bongoTuisila na Mukoko wako vizuri, hakika ni usajili mzuri
Bayern Munich haijawahi kufungwa tano consecutively kwenye tournament mojaSisi bayarn munshen wa Tanzania wakifanya vizuri kama kawaida yetu tunapita nao.
Za ligi, fuatilia.Hizo data ni za league au za michuano ya CAF?
Uliwaona wapi wakicheza?Tuisila na Mukoko wako vizuri, hakika ni usajili mzuri