Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa mtazamo wako Simba haijafanya usajili mzuri? Morrison, Bwalya na Mugalu unawajua vizuri? hao waliokuwapo wanasajiliwa pia. Chama, Miquissone, Manula, Mkude, eeh, haya wee njoo na Waziri Junior wako OktobaKatika hili nawaapongeza sana Yanga... Upande wa pili kuna namna na inawezekana ndo sababu Senzo aliondoka
Kuna watu kazi yao ni kupiga pesa za Mo.kipindi cha usajili