Frolent Ibenge awasainisha Kisinda na Mukoko Yanga SC

Frolent Ibenge awasainisha Kisinda na Mukoko Yanga SC

Hao wazee waliwalambisha mchanga watoto wa Yanga 4-1.

Hao wazee wamechukua makombe matatu (treble)

Bora kuwa na wazee wanaojua mpira kuliko vijana Utopolo.
Somaaaa hiyooo
tapatalk_1597761969975.jpeg
 
Kibaya zaidi hao wazee waliwalaza na viatu 4G kama mmesimama, wamechukua makombe yote.

Sasa wazee wa aina hiyo kwanini usiwape shikamoo? Lazima uitoe.

Vilevile, Yanga ni moja ya timu chache sana Tanzania iliyofungwa goli nyingi sana kwenye mechi moja mwaka 2020, aibu, aibu, aibu.

Sasa wameamua kufukuza wachezaji wote na kuanza upya, tarehe 6/9 wanakutana na Prison ya Mbeya, tunasubiri 4G za kuanzia msimu.
 
Kwa Kisinda yule niliemuona kwenye mechi za CAF watani mmepata mchezaji mzuri jamaa ni skilfull, na kwa ile kasi yake aliyokua nayo, anapiga mbali na mara zote anavamia goli. Labda kama amebadilika.
kazidi kuwa wa moto mkuu muulize josh onyango laiti angejipa muda kupitia hii post basi angepunguza aibu ya kumdaka miguu
 
Back
Top Bottom