Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hommie hommie hommie, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Unamsaliti mwana wa Adamu kwa kumbusu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hommie hommie hommie, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Wewe wasema...
Hafai kabisa..Nashukuru Filipo anamuelewa
Lady doctor umemwona Asprin tayari?
Za masiku tele mpenzi..??
Eti unajua maana ya PM? Si kila operesheni lazima ifanyikie thieta, umenisoma bebito?
Haya hima twende faragha basi, usisahau mi ni mwanaume kama baba yako nawe ni mwanamke kama mama yangu....
Mpenzi sijambo..nimefurahi umeonekanika
Lady doctor umemwona Asprin tayari?
wewe hujui... nenda utajua huko!!
mmh!! Mbona nahisi kuogopa?
Naomba nije na passion lady
nasikia Aspirin ni mzee so hatoweza kunifanya chochote zaidi ya kunikagua kinywa na nywele ila Filipo alikuwa anataka kunikagua mwili mzima wakati mimi sitaki namuogopa kweli!
Tatizo unapenda sana kusikiliza maneno ya watu. Hivi ukimchunguza sana bata utamla?
Hebu jibu PM yangu basi mtoto wa mwanamke mwenzio nipate sisimko la moyo.
Umeona ulivyo na bahati? Chatu hana makucha ya kuparua wala mimeno migumu na katili kama simba. Badala yake chatu hutumia ulimi kukulamba mwili mzima, haogopi uchafu.nimeshindwa hata kukujibu we babu yaani hapa nimemkimbia simba na nimekutana na chatu mbele yangu...