Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
hahahaa!!!! Ngoja nifanye mpango wa kumuingiza Ben saanane kwenye himaya yangu, nione atafanyaje.....!! Nitahakikisha kazi ya kulea wagane anaiacha aende akafanye kazi ya kukusanya viingilio vya toilet za stand
hahahaaaa!!shost hiyo vita
utaiweza?mi ngoja nitulie na wa kwangu