Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Bahati mbaya mimi sio mwanahabari, ningekuwa mwanahabari, ningewamwagia na picha. Kwa humu ndani, mimi ni mwananchi tuu.kama unaweza kutupa na picha itakuwa safi mwana jf mwenzetu. mchakato unakwenda vp lakini hapo ukumbini..
hakuna shida mkuu, tuendelee kujulishana kinachoendelea hapo ukumbini.Bahati mbaya mimi sio mwanahabari, ningekuwa mwanahabari, ningewamwagia na picha. Kwa humu ndani, mimi ni mwananchi tuu.
Ni kweli huyu jamaa ni very bold, anamchana JK live bila zengwe, amesema, tukiamua kufanya constutuents assembly, then ni over and above level ya rais ku acent, constituent assembly ikishatoa mapendekezo yake, rais anapewa kwa utekelezaji.Mara nyingi mzee warioba huwa haogopi kusema ukweli.