Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Pasco, wamesema pia ni lini watakuja huku kijijini kwetu ili nasi tutoe maoni yetu ama ni huko huko tanzania (dar) tuu?
Baada ya mambo kutokaa sawa pale DODOMA yaani fujo Startv nao wakatoweka....inaelekea walipigwa banTunasubiri zaidi! naona wamekataza kuu air kenye TVs kwa wakazi wa mikoani, sijui kuna nini?
Jamani kuban Radio na TV ni kutunyima haki sie wa mikoani kujua kinachoendelea :disapointed:, kweli serikali yetu haina nia njema na huu muswada kwani katiba ni wananchi na wananchi wana haki ya kujuzwa nini kinaendelea ili wasijejikuta wanakurupushwa, anyway bado nguvu ya umma ipo tutapambana tuuu...
huu ni muendelezo wa anguko la wapuzi ktk madaraka ya taifa hili, wanatumia nguvu za kifisadi kutuletea mswada wa kijinga kabisa, Taifa hili linahitaji kuchapana kidogo ili kutiana akili.Ni kweli huyu jamaa ni very bold, anamchana JK live bila zengwe, amesema, tukiamua kufanya constutuents assembly, then ni over and above level ya rais ku acent, constituent assembly ikishatoa mapendekezo yake, rais anapewa kwa utekelezaji.
Halafu hawa ******* TBC jioni watatutangazia mpira wakati kwenye mambo ya msingi hawatangazi....alaf tunaambiwa kuna freedom of press. Kwanini at least hata radio station jamani ! Huu usiri, siri utaendelea mpaka lini? Wananchi wana haki ya kujua kila linaloendelea kwenye nchi yetu.
hao jamaa wote was* *ge jazzy band. Hawajieshimu, hawaheshimiki, ni mawakala wa mabwana zao ktk system.Halafu hawa ******* TBC jioni watatutangazia mpira wakati kwenye mambo ya msingi hawatangazi....
Edson, naamini kuna wana jf wengi tuu pale Karimjee, tatizo huwa hatujuani zaidi ya kosomana humu, halafu pia kuwa mwana jf ni moja, na kuweza ku update ni lingine.sasa pasco ujaacha muwakilishi wajf humo ndani kaka?......
ni kweli mfano Dr Slaa yuko pale..Edson, naamini kuna wana jf wengi tuu pale Karimjee, tatizo huwa hatujuani zaidi ya kosomana humu, halafu pia kuwa mwana jf ni moja, na kuweza ku update ni lingine.
Nazuga zunga hapa kwa job halafu nitarejea Karimjee.