Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
haya maneno yako si ya kupuuza afu watu wa namna hii hata watoto wa kiume anaweza kupita naoHichi kiboya kinajionyesha kabisa kua kinapenda watoto wadogo. Mlio karibu nacho chungeni watoto zenu
Itakuwa wakati anapimwa alipona ila fyuzi zimekatika kwa mara ingineMnaosema mwezi mchanga, thibitisheni aliwahi kuweka Cheti chake cha afya ya akili watu walitamani ardhi ipasuke. Ni mzima.
Acha tuthrough social media inboxπ€£,physical body
jamaa sahivi katuweza amekuja hadi na vifungu
Kama Madaktari WA Mirembe wamethibisha watu wanashangaza kufikiri huyu MTU ni unsound, huwezi kulazimishwa hulka na matendo ya MTU.Huyu jamaa mimi namwona ni sound kabsa.
Just came here to say , thank you for the update.
Kama mapapai yalikutwa na covid 19 unashangaa nini!Kama Madaktari WA Mirembe wamethibisha watu wanashangaza kufikiri huyu MTU ni unsound, huwezi kulazimishwa hulka na matendo ya MTU.