Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
😂😁 Ndio naicheki hapa naona story inazidi kuwa tamuSema isije kuzingua kama Reacher.
Reacher S02 nilisubiri kwa hamu lakini ilivyotoka ikawa ya hovyo haitamaniki tena.
Nimeangalia season 1 tu, kumbe na season 2 nzima bado wameshindwa kutoka kwenye ule mji wa mizimu inayosumbua giza likiingiaNaam wale wapenzi wa series ya from Leo season 3 imeshatoka online link kama uliipenda msimu wa kwanza na wapili huu ni msimu wa tatu je wale viumbe wataendelee kisumbua je Boyd Steven atafanikiwa kuwakomboa wenzie je Tabitha atafanya Nini ili kuwasaidia wenzie walio potea
Cc rip faza_nelly Mr Q Scars Carleen Hziyech22
View attachment 3102800
From Season 1 Complete WEB-HD 480p, 720p, & 1080p - TodayTvSeries
View attachment 3102795View attachment 3102796
Ndio mkuu ni balaa aliye fanikiwa kutoka ni Tabitha tuNimeangalia season 1 tu, kumbe na season 2 nzima bado wameshindwa kutoka kwenye ule mji wa mizimu inayosumbua giza likiingia
🤣😁😁Kaka hii series kalii sana hadi Mimi naisubiria kwa hamu sana Deadpool & WolverineBro, ujanja wangu wote hii nilishindwa kuielewa. Nikaona nitulie tu.
Ila kifupi series nimekua mvivu sana, labda mini ambazo season 1 tunamalizana.
Nasubiria HD ya Deadpool & Wolverine tu.
S01 niliicheki, S02 nikakutana nayo YouTube hawa wapuuzi wanaofanya Movie/TV summary, sema sikua serious sana.🤣😁😁Kaka hii series kalii sana hadi Mimi naisubiria kwa hamu sana Deadpool & Wolverine
Season 3 imeanza kutoka Leo kipande cha kwanzaS01 niliicheki, S02 nikakutana nayo YouTube hawa wapuuzi wanaofanya Movie/TV summary, sema sikua serious sana.
Ngoja niitafute S02 niianze upya. Ili S03 itakua imesogea sogea.
Anaitafuta familia yake 😁🤣
Walikuwa wanamuuliza wapi alipotokea nini? Maana yeye mwenyewe hajui Nini kilitokea baada ya kusukumwa pale na yule mtoto
Hakuna cha dream wala nn, this is real.
Dah aisee basi ni balaa kaka sijui itakuwaje ngoja tusubirie hadi jumapili ijayoHakuna cha dream wala nn, this is real.
Mimi naiacha kwanza mpaka iishe....Dah aisee basi ni balaa kaka sijui itakuwaje ngoja tusubirie hadi jumapili ijayo
Kabisa Hawa mgm wanazingua sana yaani sana Bora hii series wangewapa Netflix Dili tuMimi naiacha kwanza mpaka iishe....
Huwa nawakubali sana Netflix maana series zao huwa wanamwaga episodes zote waaah..