Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #41
Tupo EP ya 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuHii kitu nilijaribu sana kuitizama chemistry yangu haijaendana nayo... Haikunivutia Kwa namana yoyote Ile.
Ngoja niitafute hiii tanoTupo EP ya 5View attachment 3130646
Exactly 💯 mkuu hii series kalii sanaNgoja niitafute hiii tano
Kwa wakati huu hii ndio series yangu bora.
Series kalii sana hii mkuuHii series kali aisee! Nitairejea tena nikipata wakati, nakumbuka niliishia Season 1, kwasasa nasogeza wakati wa jioni kuelekea usiku na Series ya "Two weeks to live", hii chuma kutoka kwa wa-British, England moja hiyo.
Hii torrent haikuzingui kwenye speed? Kama kasi yake unaona ni ndogo jaribu kutumia website ya seedr, hapa uta-paste link kama unavyoi-paste huko torrent-U.torrent. Kitu kinaenda shwaa, ila isiwe tu kwa sim card ya Halotel ambao kwa wiki hizi mbili wana Internet yenye kasi ya kobe.Tupo EP ya 5View attachment 3130646
Ilijaa kaka Leo voda network ni mbovu sanaHii torrent haikuzingui kwenye speed? Kama kasi yake unaona ni ndogo jaribu kutumia website ya seedr, hapa uta-paste link kama unavyoi-paste huko torrent-U.torrent. Kitu kinaenda shwaa, ila isiwe tu kwa sim card ya Halotel ambao kwa wiki hizi mbili wana Internet yenye kasi ya kobe.
Tunalipia vifurushi tupate tunavyovitaka huko mitandaoni-movies, picha n.k ila tunaishia kupata karaha! Nilijua shida ipo kwenye mtandao wa Halotel peke yake kumbe hata Vodacom nako mambo ni yale yale.Ilijaa kaka Leo voda network ni mbovu sana
Pole sana, series imetulia sanaHii kitu nilijaribu sana kuitizama chemistry yangu haijaendana nayo... Haikunivutia Kwa namana yoyote Ile.
Naunga mkono hojaPole sana, series imetulia sana
Inasikitisha sana kaka hadi Mimi napata speed ndogo sana na telegram nayo bila vpn hautoboi aiseeTunalipia vifurushi tupate tunavyovitaka huko mitandaoni-movies, picha n.k ila tunaishia kupata karaha! Nilijua shida ipo kwenye mtandao wa Halotel peke yake kumbe hata Vodacom nako mambo ni yale yale.
Kwa wiki hizi tatu yameachiwa madude mazito sana-series na muvi, mchawi ni spidi ya mitandao tunayotumia.
Muda huu napambana angalau nipate website yenye mb chache angalau niishushe muvi ya "Finding Forrester" maana kwa site zenye mb kubwa naishia kusoma maneno haya "18 hours remaining" kwenye browser, speed ya mtandao imepotea kabisa!
Hata furaha ndogo tu ya kufurahia speed ya mtandao tunanyimwa! Na huko Telegram upate VPN tena uongeze na makandokando-Proxies, yaani tunaishia tukiishia!Inasikitisha sana kaka hadi Mimi napata speed ndogo sana na telegram nayo bila vpn hautoboi aisee
Kabisa Mkuu ila nahisi yule mwanamke wa ajabu ndiye fatimaSeries bando ndefu, labda waamue kuifupisha tu, visa vingi mno vitaibuka..
Swali kubwa ni nini chanzo cha yote hayo, victor anajaribu kukumbuka lakini anakwama...
Kwanini Tabitha amerudi, tena na baba yake victor,
Nini kitatokea kwa Fatima, na hatma ya mtoto wake
Kuna jamaa anaona mwanamke wa ajabu ni nini mwisho wake,
Kuna maswali mengi, naona kabisa kuna uwezekano wa S4
Kuna series ambayo ipo kwenye genre ya thriller na comedy inaitwa "Only Murders in the Building", humo yupo Selena Gomez na wazee wawili. Kuanza kwake kulikuwa simple sana, season 1 iliisha tukaenda Season 2, hatujakaa sawa hii hapa Season 3 na sasa kama utani tumeletewa Season 4.Series bando ndefu, labda waamue kuifupisha tu, visa vingi mno vitaibuka..
Swali kubwa ni nini chanzo cha yote hayo, victor anajaribu kukumbuka lakini anakwama...
Kwanini Tabitha amerudi, tena na baba yake victor,
Nini kitatokea kwa Fatima, na hatma ya mtoto wake
Kuna jamaa anaona mwanamke wa ajabu ni nini mwisho wake,
Kuna maswali mengi, naona kabisa kuna uwezekano wa S4
Nahisi serikali inatufanyia makusudi mkuuHata furaha ndogo tu ya kufurahia speed ya mtandao tunanyimwa! Na huko Telegram upate VPN tena uongeze na makandokando-Proxies, yaani tunaishia tukiishia!
Haya mambo ya gavoo tuyaache tu, furaha hii tuliyonayo hata kama ni ya kupima robo robo inatosha. Tuko na poor technology, poor infrastructure, inadequate innovations, unnecessary clout chasing stunts na madude kibao, ya mwisho kabisa sisi ni third world country, so we should expect nothing better.Nahisi serikali inatufanyia makusudi mkuu