From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Usipate jazba mapema, inawezekana Main Character ndo hayo Ma-ghost, mbeleni tutaanza kuwaonea huruma hao ma-ghost ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„Kuna yule tomas sijui ndio nani au ndio yule dogo anae vaa nguo nyeupe juu na chini
 
Monsters hawana shida nae hata kidogo, wanataka tu kumtesa, na kuangalia shida nyingi amesolve yeye, sasa wanaona huyu mjinga tumvuruge kwanza akili na kumgombanisha na watu wake
Exactly ๐Ÿ’ฏ mkuu na ndio maana walianza na Randall na soon EP ijayo wataleta mabalaa mengine wale wahuni
 
20241017_123056.jpg

Huyu naona ni kama Fatima maana ukiangalia kwenye ile series inavyoanza Kuna mtu kachorwa kama huyu na alimuuua yule mumewe hii series tunapoelekea ni balaa sana na tuliambiwa Kuna sapraizi ya monster wapya
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€watch list nikitoka night leo kesho nashindia series na kesho kutwa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 

Attachments

  • 9DD7EAC1-C137-4BBB-A6E8-A82A249B26CC.jpeg
    9DD7EAC1-C137-4BBB-A6E8-A82A249B26CC.jpeg
    681.4 KB · Views: 6
Sema Victor tunamchukulia poa yeye ndio solution , Boyd hajawahi kufichua chochote zaidi ya kupewa data na wenzio yey kuuliza uliza tu I know I know๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Jamaa ndio suluhisho, kuna combi ya victor + baba yake + Tabitha + Boyd + Jade... Ila kuna mmoja wao lazima afanywe chakula cha monsters
 
Back
Top Bottom