Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Mm naona kuna main characters zaidi ya watano mule๐ ๐Boyd, kwangu mimi huyo ndiye main, na kinachotokea kwa sasa wale viumbe wanamkomoa tu, na ndio maana kuna muda yeye mwenyewe haelewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm naona kuna main characters zaidi ya watano mule๐ ๐Boyd, kwangu mimi huyo ndiye main, na kinachotokea kwa sasa wale viumbe wanamkomoa tu, na ndio maana kuna muda yeye mwenyewe haelewi
๐๐๐๐๐๐๐Kuna yule tomas sijui ndio nani au ndio yule dogo anae vaa nguo nyeupe juu na chiniUsipate jazba mapema, inawezekana Main Character ndo hayo Ma-ghost, mbeleni tutaanza kuwaonea huruma hao ma-ghost ๐๐๐
Exactly ๐ฏ mkuu na ndio maana walianza na Randall na soon EP ijayo wataleta mabalaa mengine wale wahuniMonsters hawana shida nae hata kidogo, wanataka tu kumtesa, na kuangalia shida nyingi amesolve yeye, sasa wanaona huyu mjinga tumvuruge kwanza akili na kumgombanisha na watu wake
Ni series kalii na nzuri sana full mysteryNimekua addicted na from
Mkuu wamekupata uanze kufunga madirisha sasa ukilala๐ ๐Ni series kalii na nzuri sana full mystery
Kabisa Mkuu na hapa nilipo kaa naona kama ndio wanaanza kuja Kuna yulee kibibi namuona kwa mbele hapaMkuu wamekupata uanze kufunga madirisha sasa ukilala๐ ๐
Bora huyo kuna yule pisi Kali alilala barabarani week ile dah wajuba wengi tungekufa kuchomoa kw ile pisi kimbembe๐ ๐ ๐Kabisa Mkuu na hapa nilipo kaa naona kama ndio wanaanza kuja Kuna yulee kibibi namuona kwa mbele hapa View attachment 3131018
Ni yeye fatimaView attachment 3131015
Huyu naona ni kama Fatima maana ukiangalia kwenye ile series inavyoanza Kuna mtu kachorwa kama huyu na alimuuua yule mumewe hii series tunapoelekea ni balaa sana na tuliambiwa Kuna sapraizi ya monster wapya
Naunga mkono hojaSema Victor tunamchukulia poa yeye ndio solution , Boyd hajawahi kufichua chochote zaidi ya kupewa data na wenzio yey kuuliza uliza tu I know I know๐ ๐ ๐
Kabisa ni balaa mkuuBora huyo kuna yule pisi Kali alilala barabarani week ile dah wajuba wengi tungekufa kuchomoa kw ile pisi kimbembe๐ ๐ ๐
Jamaa wabishi wakapata walichokitakaBora huyo kuna yule pisi Kali alilala barabarani week ile dah wajuba wengi tungekufa kuchomoa kw ile pisi kimbembe๐ ๐ ๐
Jamaa ndio suluhisho, kuna combi ya victor + baba yake + Tabitha + Boyd + Jade... Ila kuna mmoja wao lazima afanywe chakula cha monstersSema Victor tunamchukulia poa yeye ndio solution , Boyd hajawahi kufichua chochote zaidi ya kupewa data na wenzio yey kuuliza uliza tu I know I know๐ ๐ ๐
Ndio huyo dogo, siku hizi haonekani๐๐๐๐๐๐๐Kuna yule tomas sijui ndio nani au ndio yule dogo anae vaa nguo nyeupe juu na chini
Dah ni event ambayo lazm Ingetokea lilikuwa Jambo la muda tu pale.Jamaa wabishi wakapata walichokitaka
Ni vile tu Victor alichanganyikiwa kutokana na matukio aliyaona akiwa bado mtoto sana, ila kuna vitu akiviweka sawa wanapata muafaka, shida tu anafanya mambo mengi kivyake vyakeDah ni event ambayo lazm Ingetokea lilikuwa Jambo la muda tu pale.
Tabitha Hana msaad Bora apotezwe tufike mpk season 12 kam walking dead.Jamaa ndio suluhisho, kuna combi ya victor + baba yake + Tabitha + Boyd + Jade... Ila kuna mmoja wao lazima afanywe chakula cha monsters