From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Tupo EP ya 2 kwa sasa 🔥🔥🔥🔥
Screenshot_20240929-095910.jpg
 
Yule mama aliekuja kwenye gari la wagonjwa pamoja na yule Mzee si awambie jinsi ya kutoka hayo maeneo mbona alienda na pia karudi bahati mbaya
Ngoja tuone EP zinazofata itakuwaje afu inavyo onekana mkuu yule mama ambaye ndio Tabitha huwenda akawa na undungu na yule victor sema yule mama ambaye ni Polisi aliambiwa asifungue mlango akawa mbishi
 
Na Kuna yule dada ambaye kwa Sasa Anakula vitu vya kuoza oza na Sasa naona analamba damu kupitia tundu la risasi la yule marehemu aliepigwa risasi na yule askari , sijui ana shida gani
 
Yani ni balaa,na Victor ndo nadhani alimfaya yule mama mpaka akarudi kule mjini kwa baba ake na Victor
 
Na Kuna yule dada ambaye kwa Sasa Anakula vitu vya kuoza oza na Sasa naona analamba damu kupitia tundu la risasi la yule marehemu aliepigwa risasi na yule askari , sijui ana shida gani
Episode Ya 6 season 2. Ndio utaona Kwanini FATIMA Yuko weird Sana

Inaweza ikahusiana na blood transfusion aliofanya boyd kwa Ellis
 
Noma sana
Ni balaa sana ila kabla msimu haujaanza walisema Kuna sapraizi ya monster wapya na wale monster wameanza kuwavuruga kama uliona vizuri pale EP ya 4 mwishoni yule dogo hawakumuua naona EP 5 Boyd na yule dogo Randall wataendelea kuchukiana sana
 
Back
Top Bottom