Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
mkuu naomba link ya kudownloadHalafu kumbe wameachia ni episode 1 tu
Wanafanya kama Presumed innocent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naomba link ya kudownloadHalafu kumbe wameachia ni episode 1 tu
Wanafanya kama Presumed innocent
Ipo kwenye post ya kwanza hapo juumkuu naomba link ya kudownload
Exactly 💯 hapo ongezea na wayward pinesNafkr idea ya from na movie ya coma,series ya 1899,movie ya inception somehow zinafanana, matukio yote yanayotokea kwenye huo mji sio halisi.
Duh hiyo nayo sjui kwanini fox waliicancel,same na 1899, netflix wameicancel.Exactly 💯 hapo ongezea na wayward pines
Itafute Itakuwa zilikuwa na watazamaji wachacheDuh hiyo nayo sjui kwanini fox waliicancel,same na 1899, netflix wameicancel.
Naam Kabisa Mkuu tunasubiria EP ya 5 jumapili hii tumeishia huyu jamaa kadakwa ila wale monster hawajamuua naona wanaanza kugombanisha watuTupo live
Yule mama aliekuja kwenye gari la wagonjwa pamoja na yule Mzee si awambie jinsi ya kutoka hayo maeneo mbona alienda na pia karudi bahati mbayaNaam Kabisa Mkuu tunasubiria EP ya 5 jumapili hii tumeishia huyu jamaa kadakwa ila wale monster hawajamuua naona wanaanza kugombanisha watu View attachment 3126439
Ngoja tuone EP zinazofata itakuwaje afu inavyo onekana mkuu yule mama ambaye ndio Tabitha huwenda akawa na undungu na yule victor sema yule mama ambaye ni Polisi aliambiwa asifungue mlango akawa mbishiYule mama aliekuja kwenye gari la wagonjwa pamoja na yule Mzee si awambie jinsi ya kutoka hayo maeneo mbona alienda na pia karudi bahati mbaya
Na Kuna yule dada ambaye kwa Sasa Anakula vitu vya kuoza oza na Sasa naona analamba damu kupitia tundu la risasi la yule marehemu aliepigwa risasi na yule askari , sijui ana shida ganiNgoja tuone EP zinazofata itakuwaje afu inavyo onekana mkuu yule mama ambaye ndio Tabitha huwenda akawa na undungu na yule victor sema yule mama ambaye ni Polisi aliambiwa asifungue mlango akawa mbishi
Yani ni balaa,na Victor ndo nadhani alimfaya yule mama mpaka akarudi kule mjini kwa baba ake na VictorNgoja tuone EP zinazofata itakuwaje afu inavyo onekana mkuu yule mama ambaye ndio Tabitha huwenda akawa na undungu na yule victor sema yule mama ambaye ni Polisi aliambiwa asifungue mlango akawa mbishi
Episode Ya 6 season 2. Ndio utaona Kwanini FATIMA Yuko weird SanaNa Kuna yule dada ambaye kwa Sasa Anakula vitu vya kuoza oza na Sasa naona analamba damu kupitia tundu la risasi la yule marehemu aliepigwa risasi na yule askari , sijui ana shida gani
Yeah ndio kaka exactly asilimia 100Yani ni balaa,na Victor ndo nadhani alimfaya yule mama mpaka akarudi kule mjini kwa baba ake na Victor
Noma sanaEpisode Ya 6 season 2. Ndio utaona Kwanini FATIMA Yuko weird Sana
Inaweza ikahusiana na blood transfusion aliofanya boyd kwa Ellis
Ni balaa sana ila kabla msimu haujaanza walisema Kuna sapraizi ya monster wapya na wale monster wameanza kuwavuruga kama uliona vizuri pale EP ya 4 mwishoni yule dogo hawakumuua naona EP 5 Boyd na yule dogo Randall wataendelea kuchukiana sanaNoma sana
Ndio nilipaona hapoNi balaa sana ila kabla msimu haujaanza walisema Kuna sapraizi ya monster wapya na wale monster wameanza kuwavuruga kama uliona vizuri pale EP ya 4 mwishoni yule dogo hawakumuua naona EP 5 Boyd na yule dogo Randall wataendelea kuchukiana sana
EP ya 5 jumapili inaenda kuwa balaa sana mule ndani na yule mwanamama Polisi kaja nyakati ambazo ngumu sana aiseeNdio nilipaona hapo