From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Msimu ujao msishangae mke wa mwenyekiti akarudi kivingine kwa umbo labda ata lingine
1732901694513.jpg
 
Huyu jamaa wakati anaingia humo kijijini walipata ni ajali lakini yeye full furaha anazunguka na kibaskeli kumbe Kuna mtu karudi mara ya pili, na ndo maana Kuna vitu anaona mfano kule kwenye barafu alipomaliza kujisaidia haja ndogo akaona mtu kwenye mtu kapigwa bisu sijui la jicho,
Kabisa naunga mkono hoja huyu ni yule mzee aliye kuwa anaongea na yule mdoli 😃😃
 
Huyu jamaa wakati anaingia humo kijijini walipata ni ajali lakini yeye full furaha anazunguka na kibaskeli kumbe Kuna mtu karudi mara ya pili, na ndo maana Kuna vitu anaona mfano kule kwenye barafu alipomaliza kujisaidia haja ndogo akaona mtu kwenye mtu kapigwa bisu sijui la jicho,
Khaaaaaaa. Mambo gn sasa haya!!?
Kumbe thriller!?
 
My guess watakaokufa season 4 ni ellis(mtoto wa boyd) na baba ake victor
Wakimuua Ellis, Fatima hawezi kuishi au atakua wa hovyo sana, wamtoe tu baba ake Victor 🤣🤣 me simuelewi japo anauliza maswali ya maana ila hawajamzingatia tu, wangemtoa yule askari au wambadilishe attitude yake ili aanze kudate na Kenny, the guy needs a girlfriend jamani
 
Naam wale wapenzi wa series ya from Leo season 3 imeshatoka online link kama uliipenda msimu wa kwanza na wapili huu ni msimu wa tatu je wale viumbe wataendelee kisumbua je Boyd Steven atafanikiwa kuwakomboa wenzie je Tabitha atafanya Nini ili kuwasaidia wenzie walio potea
Cc rip faza_nelly Mr Q Scars Carleen Hziyech22
View attachment 3102800
From Season 1 Complete WEB-HD 480p, 720p, & 1080p - TodayTvSeries
View attachment 3102795View attachment 3102796
Hatari
 
Back
Top Bottom