From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Unafanyaje ili kumention mbona hapo nimebahatisha tu
Una andika Vincenzo Jr
Screenshot_20241129-131345.jpg
 
Kosa lake pia ni kuambiwa ukweli kuhusu REINCARNATION iliyokuwa inafanyika mule.

Mara tu baada ya Thabitha kumueleza kuhusu reincarnation yake yaani miranda kurudi kama thabitha etc, ndio hapo shida ikaanza...... AKALIWA KICHWA

Kuchimba shimo ni SYMBOLISM inayomaanisha KUCHIMBUA UKWELI.
Tabitha alishaanza kuwa attach na jade kila sehemu wapo, akikumbuka na kabla ya kuja hapo tabitha alishesema anataka talaka jamaa
Alijikuta mwamba 😃
kichwa kilikuwa kimejaa mawazo huenda jade akamchukulia mke, akiwaza na tabitha alishawahi kuomba talaka. Akaona mke anaenda mdogo mdogo nikiwa naona
 
Mimi namuwazia Boyd ataweza kutoka kweli kule bila kushtukiwa? wasije wakamhold, pia nakumbuka Victor alisema many people will die kama ilivyotokea kipindi yupo mdogo na akasisitiza kuna kitu hakipo sawa, sasa Jade na Tabitha kama wameenda kuibua hao watembea mchana kazi ipo, vipo vitakua vingi sana
Boyd kutoka kule kwenye basement haitakua rahisi.

Huyu man in yellow akianza kupiga shughuli zake mchana wamekwisha. Kama talisman haimzuii sijui itakuaje

Nafikiri season 4 itakua na massacre nyingi sana, possibly huyu mzee amekuja kuua watu kwa sababu kwa washaanza kuukaribia ukweli wa fumbo la ule mji.

Bila shaka target yake inayofuata ni jade na tabitha. Kuna machale yananiambia uenda huyu man in yellow ndie aliwaua watu wote pale kwenye ule mji akabaki victor peke yake.
 
Back
Top Bottom