From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Smile ndani ya nyumba πŸ˜€πŸ˜€
20241125_144708.jpg
 
1. Mtoto ni yule aliyepiga magoti na kumwambia Remember,

2. Ep. 1 wakati Tabitha anachimba lile shimo, Jimmy alipokea sauti kupitia ile simu ya upepo kumuuliza mke wake yupo wapi na kumwambia asingechimba lile shimo, yule mzee ndio yule yule ambaye amekua akimpigia simu na kujifanya yeye ni mtoto wao Thomas, pia alimwambia "nilijaribu sana kukuonya..... haya ndio malipo ya kua na akili nyingi" kwa hiyo kile kibabu ndio kile kilikua kinapiga piga simu,

3. May be.....

4. Vita sidhani ila kutakua na daylight monsters watakua wanaranda randa msituni, kumbuka Jullie alimwambia baba ake toka msituni nenda town kuko salama zaidi

Based on my theory
Naunga mkono hoja
 
Kosa la Jimmy ni nn?
Uyo mzee ni nani?
Kosa la jimmy ni kuwasanua Jade na tabitha kua zile herufi ni nota za mziki. Pia kumuacha Tabitha achimbe shimo kule ndani ya nyumba, maana baada ya tabby kuchimba shimo na kuingia kule kwenye yale mahandaki ndio akaanza kupata Vision na hallucinations za Fromville.

Ndio maana The Man in Yellow alimwambia Jimmy kua "Knowledge comes with price"
 
Naunga mkono hoja πŸ˜€πŸ˜€
 
Baada ya kubanwa na pilipilika za jana ndio nimepata wasaa wa kuiangalia episode ya 10 sasa hivi.

Wengi wanauliza huyu mzee mwenye suti ya njano alimuua jim ni nani.

Huyu mzee bila shaka ndie kiongozi wa wale monsters na ana supernatural power zaidi maana tumeona yeye anaweza kufanya harakati zake mpaka mchana tofauti na wale wengine muda wao ni usiku tu

vile vile huyu mzee ndie architect wa ule mji anacontrol mambo behind the scene na anaona kila kinachoendelea. Anawa-manipulate wale wakazi wa pale wanaishie kuangaika tu bila kupata suluhisho.

Mpango wake amekuja kuwashughulikia wote ambao wapo karibu kwenye kufungua code za ule mji. Bila shaka atakua ndie villain katika season 4
 
Exactly πŸ’― mkuu sema Jim kampambania sana yule Binti yake
 
Julie ni story walker so hapo sio kweli kwanza julie nywele zake ni ndefu hapo zimekua fupi na pia nguo aliovaa so this means mbeleni hiki kitu kitatokea but time traveler julie is the only person to change it pia huyu mzee ndio kipindi kile alimwambia jim kwenye simu 😁 πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
1. Mtoto ni yule aliyepiga magoti na kumwambia Remember,

2. Ep. 1 wakati Tabitha anachimba lile shimo, Jimmy alipokea sauti kupitia ile simu ya upepo kumuuliza mke wake yupo wapi na kumwambia asingechimba lile shimo, yule mzee ndio yule yule ambaye amekua akimpigia simu na kujifanya yeye ni mtoto wao Thomas, pia alimwambia "nilijaribu sana kukuonya..... haya ndio malipo ya kua na akili nyingi" kwa hiyo kile kibabu ndio kile kilikua kinapiga piga simu,

3. May be.....

4. Vita sidhani ila kutakua na daylight monsters watakua wanaranda randa msituni, kumbuka Jullie alimwambia baba ake toka msituni nenda town kuko salama zaidi

Based on my theory
Huyu atakuwa ameenda kule kwenye ruins so hapo yupo ktk dimension tofauti na reality iliyopo current pale kijijini… hata huyu monster ameongelea kuhusu mke wa Jim kuchimba ile nyumba na pia kuhusu code aliyocrack Jim mpk Jude kuweza kupiga ile rhyme ya song kule bottle treeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Julie ni story walker so hapo sio kweli kwanza julie nywele zake ni ndefu hapo zimekua fupi na pia nguo aliovaa so this means mbeleni hiki kitu kitatokea but time traveler julie is the only person to change it pia huyu mzee ndio kipindi kile alimwambia jim kwenye simu 😁 πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
HIsia zinaniambia huyu mzee ni mkuu wa wale monsters na ndie architect wa ule mji, anaona kila kitu na anaoperate mambo yake behind the scene, watu wakiwa wanakaribia kugundua ukweli mzee anaingilia kati na kuvulugua mipango. Pale mwishoni Julie alisafiri katika muda kwenda kwenye future ili amuokoe baba ake
 
Exactly πŸ’― mkuu naunga mkono hoja
 
Huyu atakuwa ameenda kule kwenye ruins so hapo yupo ktk dimension tofauti na reality iliyopo current pale kijijini… hata huyu monster ameongelea kuhusu mke wa Jim kuchimba ile nyumba na pia kuhusu code aliyocrack Jim mpk Jude kuweza kupiga ile rhyme ya song kule bottle treeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Julie ni story walker so hapo sio kweli kwanza julie nywele zake ni ndefu hapo zimekua fupi na pia nguo aliovaa so this means mbeleni hiki kitu kitatokea but time traveler julie is the only person to change it pia huyu mzee ndio kipindi kile alimwambia jim kwenye simu 😁 πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umesahau Ethan alimwambia huwezi kubadili story ambayo imeshaongelewa, sijui watafanyaje ili kutuonesha otherwise ila combination ya Jade, Tabitha na Jimmy ilikua inaenda kuwatoa Fromville ndio maana Man in Yellow akaingilia kati
 
Back
Top Bottom